Jose Mourinho na Harakati zake.

kidudumtujr

Mgeni
Dec 14, 2022
50
70
5
Tanzania
𝐉𝐨𝐬𝐞 𝐌𝐨𝐮𝐫𝐢𝐧𝐡𝐨 𝐫𝐞𝐜𝐚𝐥𝐥𝐬 𝐚 𝐬𝐭𝐨𝐫𝐲.

Nilimwendea na kumwambia (Maicon) kwamba ikiwa atapewa kadi ya njano,hatakwenda likizo, mimi si mjinga(Ni muangalie apate Kadi ili game ijayo asiweze kucheza akapumzike kwao)

Maicon akauliza,kama akifunga,anaweza kwenda? Nilimjibu 'Hapana, ikiwa tu utafunga Goli 2.

Katika mchezo Maicon alifunga mabao 2, akapokea kadi ya njano kwa kuvua shati lake na akaenda likizo.

Pia nilimpa(Maicon)mapumziko ya wiki ya ziada."
 

Attachments

  • 0914B183-73B8-4426-9BA8-10BAC6582D2D.jpeg
    0914B183-73B8-4426-9BA8-10BAC6582D2D.jpeg
    484.9 KB · Somwa: 0