Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Uwekezaji
Kijiwe cha Hisa na Hati fungani za serikali
Jua wakati mzuri wa kuingia sokoni
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ukiingia Uchina kuna watu wengi wanaheshimika sana lakini kuna watu watatu wanaheshimika sana kwenye taifa hilo lenye watu zaidi ya 1.4 bln

Watu hao ni Sun Tzu, Mao Tse Dong (tamka 'Zedong') na Deng Xiapong. Hawa ni watu ambao wamechangia sana ukubwa na uimra wa taifa hilo kutoka barani Asia.

Lakini Sun Tzu licha ya kupendwa sana ndani ya Uchina, pia anapendwa na hata na mataifa ya magharibi kitu ambacho si rahisi sana.

Kwenye kitabu chake cha The Art of War ambapo kwa tafsiri isiyorasmi tunaweza kusema ni 'Sanaa ya Vita' ameeleza mbinu nyingi bora za kushinda vita zinazotumiwa mpaka sasa.

Ikumbukwe tu Tzu aliishi Uchina ya kale hata kabla ya Rais wa kwanza taifa hilo Mao Zedong hajazaliwa. Tzu alikuwa ni Jenerali wa Jeshi, Mwanafalsafa na Mtu wa Mikakati ambaye aliheshimika sana kwa kuwa mwenye mbinu na mikakati bora ya kushinda vita.

Kupitia The Art of War, Sun Tzu anasema "Atakayeshinda vita ni yule anayejua muda gani wa kupigana na muda gani wa kutokupigana" na huo ni ukweli na falsafa hiyo inaweza kutumiwa hata kwenye uwanja wa uwekezaji.

Mwekezaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani aingie sokoni na wakati si wa kuingia sokoni. Unapotaka kutengeneza faida kwenye soko la hisa lazima ujue ni muda gani wa kununua hisa na muda gani si wa kununua hisa.

Siyo kila muda unaweza kununua hisa! Unahitaji kujifunza na kulisoma soko kabla ya kuingia.

[QUOTE="Muwekezaji, post: 1464, member: 21"] Ukiingia Uchina kuna watu wengi wanaheshimika sana lakini kuna watu watatu wanaheshimika sana kwenye taifa hilo lenye watu zaidi ya 1.4 bln Watu hao ni Sun Tzu, Mao Tse Dong (tamka 'Zedong') na Deng Xiapong. Hawa ni watu ambao wamechangia sana ukubwa na uimra wa taifa hilo kutoka barani Asia. Lakini Sun Tzu licha ya kupendwa sana ndani ya Uchina, pia anapendwa na hata na mataifa ya magharibi kitu ambacho si rahisi sana. Kwenye kitabu chake cha The Art of War ambapo kwa tafsiri isiyorasmi tunaweza kusema ni 'Sanaa ya Vita' ameeleza mbinu nyingi bora za kushinda vita zinazotumiwa mpaka sasa. Ikumbukwe tu Tzu aliishi Uchina ya kale hata kabla ya Rais wa kwanza taifa hilo Mao Zedong hajazaliwa. Tzu alikuwa ni Jenerali wa Jeshi, Mwanafalsafa na Mtu wa Mikakati ambaye aliheshimika sana kwa kuwa mwenye mbinu na mikakati bora ya kushinda vita. Kupitia The Art of War, Sun Tzu anasema "Atakayeshinda vita ni yule anayejua muda gani wa kupigana na muda gani wa kutokupigana" na huo ni ukweli na falsafa hiyo inaweza kutumiwa hata kwenye uwanja wa uwekezaji. Mwekezaji mzuri ni yule anayejua ni wakati gani aingie sokoni na wakati si wa kuingia sokoni. Unapotaka kutengeneza faida kwenye soko la hisa lazima ujue ni muda gani wa kununua hisa na muda gani si wa kununua hisa. Siyo kila muda unaweza kununua hisa! Unahitaji kujifunza na kulisoma soko kabla ya kuingia. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Uwekezaji
Kijiwe cha Hisa na Hati fungani za serikali
Jua wakati mzuri wa kuingia sokoni
Top
Bottom