Jumapili uwanja utatoka Vumbi ule

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
France wanaenda kulipambania kombe la dunia kwa mara ya pili tena msimu wa 2018 walimchapa Croatia goli 4 na kutwaa ubingwa na ikiwa na wachezaji wake muhimu, 2022 pamoja na kukosa wachezaji muhimu zaidi ya wa 4 lakini bado Spirit yao ni ile ile yakuonesha kupambana.

Tarehe 19 tunaenda kushudia Mbappe na Messi wakipambania ubingwa wa WC 2022 bonge la game, Kombe Messi analitaka sana ukizingatia ni shindano lake la mwisho hili kwenye mashindano ya World cup Jumapili ni 🔥🔥😅
 
  • Like
Reactions: Mgunda Zone

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
France wanaenda kulipambania kombe la dunia kwa mara ya pili tena msimu wa 2018 walimchapa Croatia goli 4 na kutwaa ubingwa na ikiwa na wachezaji wake muhimu, 2022 pamoja na kukosa wachezaji muhimu zaidi ya wa 4 lakini bado Spirit yao ni ile ile yakuonesha kupambana.

Tarehe 19 tunaenda kushudia Mbappe na Messi wakipambania ubingwa wa WC 2022 bonge la game, Kombe Messi analitaka sana ukizingatia ni shindano lake la mwisho hili kwenye mashindano ya World cup Jumapili ni 🔥🔥😅
Hiiii game itakua kalii sana wazee sio mchezo😄