France wanaenda kulipambania kombe la dunia kwa mara ya pili tena msimu wa 2018 walimchapa Croatia goli 4 na kutwaa ubingwa na ikiwa na wachezaji wake muhimu, 2022 pamoja na kukosa wachezaji muhimu zaidi ya wa 4 lakini bado Spirit yao ni ile ile yakuonesha kupambana.
Tarehe 19 tunaenda kushudia Mbappe na Messi wakipambania ubingwa wa WC 2022 bonge la game, Kombe Messi analitaka sana ukizingatia ni shindano lake la mwisho hili kwenye mashindano ya World cup Jumapili ni