KADI NYEUPE (WHITE CARD) KWENYE SOKA

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Siku ya jana jumapili 22 January 2023 ulimwengu wa soka umeshuhudia matumizi ya kwanza rasmi ya Kadi nyeupe katika kandanda, Ilikuwa kwenye mechi ya ligi kuu nchini Ureno Kati ya Sporting 🆚 Benfica.

✍️Kwa ufupi ni kuwa Kadi nyeupe katika soka kwa sasa itatumika na waamuzi kama ishara ya kuitambua timu au mchezaji mwenye kuonesha mchezo wa kiungwana (fair Play) mechi ikiwa inaendelea. Ni kama ambavyo ukicheza rafu unaoneshwa Kadi ya njano au nyekundu, hivyo hivyo ukifanya Kitendo chochote cha kiungwana katikati ya mechi unaoneshwa Kadi nyeupe😁
1674638668329.png