Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kagera, Simba waahairishwa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Message
<blockquote data-quote="mhindi" data-source="post: 123" data-attributes="member: 3"><p>PAMBANO la Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar na Simba lililokuwa lipigwe leo Saa 10:00 jioni, kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba limeahirishwa kutokana na nyota 16 wa Wekundu wa Msimbazi kugundulika wanaugua mafua makali na kifua.</p><p>Sababu za kuhairishwa kwa mchezo huo kupitia taarifa ya Bodi imesema; "Kitabibu wachezaji 16 wa Simba kati ya 22 waliosafiri kwenda Bukoba, wameonekana kuwa na dalili za mafua na kukohoa hali inayochangiwa na mabadiliko ya hali ya hewa (Seasonal Infulenza), mchezo huo umehairishwa na utapangiwa terehe nyingine kwa mujibu wa kanuni za Ligi Kuu.</p></blockquote><p></p>
[QUOTE="mhindi, post: 123, member: 3"] PAMBANO la Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar na Simba lililokuwa lipigwe leo Saa 10:00 jioni, kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba limeahirishwa kutokana na nyota 16 wa Wekundu wa Msimbazi kugundulika wanaugua mafua makali na kifua. Sababu za kuhairishwa kwa mchezo huo kupitia taarifa ya Bodi imesema; "Kitabibu wachezaji 16 wa Simba kati ya 22 waliosafiri kwenda Bukoba, wameonekana kuwa na dalili za mafua na kukohoa hali inayochangiwa na mabadiliko ya hali ya hewa (Seasonal Infulenza), mchezo huo umehairishwa na utapangiwa terehe nyingine kwa mujibu wa kanuni za Ligi Kuu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kagera, Simba waahairishwa
Top
Bottom