Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ubashiri na Mikeka
Kapu la Njugu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Macho yote yatakuwa kwa Craven Cottage wakati Fulham na Bournemouth zitakapochuana katika mchezo wa Championship derby.

Cottagers wanalenga kuhifadhi nafasi ya juu kwenye msimamo, lakini wanakabiliwa na kibarua kigumu katika mchezo wa soka wa Ijumaa. Vikosi vya Marco Silva vilidondosha pointi mbili katika sare ya 1-1 na Preston, lakini kumbuka kwamba hawajashindwa katika mechi tisa za awali za ligi.

Mtu wa kuangaliwa katika timu ya nyumbani atakuwa mfungaji bora Aleksandar Mitrovic, wakati Tom Cairney, Nathaniel Chalobah, tunaweza tusiwaone Dimbani kwa sababu tofauti.

Matarajio mechi itaisha ikiwa na magoli yasiyo zidi 3.

[QUOTE="Njugu, post: 23, member: 6"] Macho yote yatakuwa kwa Craven Cottage wakati Fulham na Bournemouth zitakapochuana katika mchezo wa Championship derby. Cottagers wanalenga kuhifadhi nafasi ya juu kwenye msimamo, lakini wanakabiliwa na kibarua kigumu katika mchezo wa soka wa Ijumaa. Vikosi vya Marco Silva vilidondosha pointi mbili katika sare ya 1-1 na Preston, lakini kumbuka kwamba hawajashindwa katika mechi tisa za awali za ligi. Mtu wa kuangaliwa katika timu ya nyumbani atakuwa mfungaji bora Aleksandar Mitrovic, wakati Tom Cairney, Nathaniel Chalobah, tunaweza tusiwaone Dimbani kwa sababu tofauti. Matarajio mechi itaisha ikiwa na magoli yasiyo zidi 3. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ubashiri na Mikeka
Kapu la Njugu
Top
Bottom