Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kauli Ya Kocha Mkuu Wa YANGA Kuelekea Mchezo Wa Kesho Dhidi Ya MC Alger
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

"Tunakwenda kucheza na timu ngumu, ina wachezaji bora na kocha mzoefu lakini upande wetu tuna kikosi chenye wachezaji bora sana, naamini itakuwa mechi nzuri yenye kuvutia."

"Yanga wana historia kwenye uwanja tutakaotumia kesho, walipoteza mchezo wa Fainali hapa kwa kanuni lakini naamini walishinda mioyo ya wapenda mpira hapa Algeria, kesho ni siku nyingine na tutakuja na nguvu nyingine ya kutaka kushinda mchezo."

"Tuko kwenye presha baada ya kupoteza mchezo wa kwanza, lakini imetupa nguvu ya kujiandaa vizuri kuelekea mchezo wa kesho. Tumekuja mapema kwa ajili ya kuzoea hali ya hewa. Hatuwezi kupanga matokeo ya mwisho yatakavyokuwa Lakini tunaweza kupanga jinsi tutakavyocheza ili kupata matokeo mazuri"

"Sio nzuri kucheza mechi bila mashabiki, binafsi napenda kuiona timu yangu ikicheza mbele ya mashabiki wengi, lakini kwa kesho tutawakosa mashabiki hapa uwanjani hivyo tuna jukumu la kupambana kuwapa furaha mashabiki wetu watakaokuwa nyumbani."

Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kocha Mkuu Utamshauri Kipi Kuelekea Mchezo Wa Kesho Dhidi Ya MC Alger?

[QUOTE="Kijiweni, post: 13095, member: 476"] "Tunakwenda kucheza na timu ngumu, ina wachezaji bora na kocha mzoefu lakini upande wetu tuna kikosi chenye wachezaji bora sana, naamini itakuwa mechi nzuri yenye kuvutia." "Yanga wana historia kwenye uwanja tutakaotumia kesho, walipoteza mchezo wa Fainali hapa kwa kanuni lakini naamini walishinda mioyo ya wapenda mpira hapa Algeria, kesho ni siku nyingine na tutakuja na nguvu nyingine ya kutaka kushinda mchezo." "Tuko kwenye presha baada ya kupoteza mchezo wa kwanza, lakini imetupa nguvu ya kujiandaa vizuri kuelekea mchezo wa kesho. Tumekuja mapema kwa ajili ya kuzoea hali ya hewa. Hatuwezi kupanga matokeo ya mwisho yatakavyokuwa Lakini tunaweza kupanga jinsi tutakavyocheza ili kupata matokeo mazuri" "Sio nzuri kucheza mechi bila mashabiki, binafsi napenda kuiona timu yangu ikicheza mbele ya mashabiki wengi, lakini kwa kesho tutawakosa mashabiki hapa uwanjani hivyo tuna jukumu la kupambana kuwapa furaha mashabiki wetu watakaokuwa nyumbani." [I][B]Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kocha Mkuu Utamshauri Kipi Kuelekea Mchezo Wa Kesho Dhidi Ya MC Alger?[/B][/I] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kauli Ya Kocha Mkuu Wa YANGA Kuelekea Mchezo Wa Kesho Dhidi Ya MC Alger
Top
Bottom