Kauli ya Manchester United kuhusu hali ya Cristiano Ronaldo

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Manchester United asubuhi ya leo imeanzisha hatua zinazofaa kujibu mahojiano ya hivi majuzi ya Cristiano Ronaldo na vyombo vya habari. "Hatutatoa maoni zaidi hadi mchakato huu ufikie hitimisho lake". (Manchester United)
b5dc3557-3635-4023-926d-ce38ea371b69.jpeg