Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KIBU DENIS Leo Ni Siku Ya 16 Hayupo Kambini
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Message
<blockquote data-quote="Bakari" data-source="post: 7290" data-attributes="member: 2316"><p>Mpaka leo Kibu Dennis amekosekana katika kambi ya Simba kwa siku 16. Ikumbukwe kwamba Simba ilifika Misri Julai 8 na inatarajiwa kurejea Dar mwishoni mwa mwezi huu kabla ya Agosti 3 kuwa na tamasha la Simba Day ambalo huambatana na utambulisho wa wachezaji watakaoitumikia msimu ujao.Kuchelewa kwa mchezaji huyo kuingia kambini kunamfanya Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids kuendelea kuwanoa wengine wanaocheza eneo la ushambuliaji ambalo pia Kibu anacheza.Washambuliaji wa Simba kuelekea msimu ujao ni Jean Ahoua, Steve Mukwala, Valentine Mashaka, Freddy Michael na Kibu ambaye atakuwa na kazi ya ziada ya kufanya ili kuhakikisha anapenya kikosi cha kwanza baada ya kutokuwa kambini huku wenzake wakiendelea kujinoa.</p></blockquote><p></p>
[QUOTE="Bakari, post: 7290, member: 2316"] Mpaka leo Kibu Dennis amekosekana katika kambi ya Simba kwa siku 16. Ikumbukwe kwamba Simba ilifika Misri Julai 8 na inatarajiwa kurejea Dar mwishoni mwa mwezi huu kabla ya Agosti 3 kuwa na tamasha la Simba Day ambalo huambatana na utambulisho wa wachezaji watakaoitumikia msimu ujao.Kuchelewa kwa mchezaji huyo kuingia kambini kunamfanya Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids kuendelea kuwanoa wengine wanaocheza eneo la ushambuliaji ambalo pia Kibu anacheza.Washambuliaji wa Simba kuelekea msimu ujao ni Jean Ahoua, Steve Mukwala, Valentine Mashaka, Freddy Michael na Kibu ambaye atakuwa na kazi ya ziada ya kufanya ili kuhakikisha anapenya kikosi cha kwanza baada ya kutokuwa kambini huku wenzake wakiendelea kujinoa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KIBU DENIS Leo Ni Siku Ya 16 Hayupo Kambini
Top
Bottom