Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KIBU DENIS Uko Wapi? Au Kuna Lingine Hatulijui?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Message
<blockquote data-quote="Mshua" data-source="post: 7138" data-attributes="member: 2315"><p>Kama kuna lingine lipo nyuma ya pazia ambalo hatulijui sawa ila kama ni masuala ya Passport yanajulikana wazi. Mfano leo hii ukipewa pass yako itakuchukua miaka kumi hadi kumalizika muda wake na kama suala la kuijaza basi itategemea na wingi wa safari zako. Ukija kwa mchezaji Kibu Denis ambaye inaelezwa kushindwa kuungana na wenzake kule nchini Misri ni suala Passport itakuwa ni uongo. Msimu mwaka juzi tu aliwahi kufanyia michakato passport yake na kupewa mpya kwaiyo siyo rahisi kuizajaza kwasababu Klabu ya Simba SC haikuwa na safari ambazo zingekuwa zimeifanya Pass kujaa haraka hivyo. Pengine kuna jambo lingine ambalo litakuwa linaleta utata kati yao.</p></blockquote><p></p>
[QUOTE="Mshua, post: 7138, member: 2315"] Kama kuna lingine lipo nyuma ya pazia ambalo hatulijui sawa ila kama ni masuala ya Passport yanajulikana wazi. Mfano leo hii ukipewa pass yako itakuchukua miaka kumi hadi kumalizika muda wake na kama suala la kuijaza basi itategemea na wingi wa safari zako. Ukija kwa mchezaji Kibu Denis ambaye inaelezwa kushindwa kuungana na wenzake kule nchini Misri ni suala Passport itakuwa ni uongo. Msimu mwaka juzi tu aliwahi kufanyia michakato passport yake na kupewa mpya kwaiyo siyo rahisi kuizajaza kwasababu Klabu ya Simba SC haikuwa na safari ambazo zingekuwa zimeifanya Pass kujaa haraka hivyo. Pengine kuna jambo lingine ambalo litakuwa linaleta utata kati yao. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KIBU DENIS Uko Wapi? Au Kuna Lingine Hatulijui?
Top
Bottom