Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kijiwe cha Mashabiki wa Real Madrid (‎Los Blancos)
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

REAL MADRID imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya KUMI NA TANO (15) kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi miamba ya Ujerumani, Borussia Dortmund kwenye fainali iliyopigwa katika dimba la Wembley, London.

Borussia Dortmund walikuwa bora sana kipindi cha kwanza lakini walishindwa kuwaadhibu Mabingwa hao wa Uhispania kabla ya mambo kugeuka kichwa chini miguu juu kipindi cha pili pale Real Madrid ilipogeuka mbogo na kupata magoli mawili.

FT: Dortmund  0-2  Real Madrid

Carvajal 73’

Vini Jr 82’

Dortmund imekubali kipigo cha pili mfululizo kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya zote wakipoteza kwenye dimba la Wembley.

Itakumbukwa miaka 11 iliyopita Dortmund ilipoteza fainali dhidi ya Bayern Munich kwenye dimba la Wembley.

[QUOTE="Gamondi, post: 4653, member: 2313"] REAL MADRID imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya KUMI NA TANO (15) kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi miamba ya Ujerumani, Borussia Dortmund kwenye fainali iliyopigwa katika dimba la Wembley, London. Borussia Dortmund walikuwa bora sana kipindi cha kwanza lakini walishindwa kuwaadhibu Mabingwa hao wa Uhispania kabla ya mambo kugeuka kichwa chini miguu juu kipindi cha pili pale Real Madrid ilipogeuka mbogo na kupata magoli mawili. FT: Dortmund 🇩🇪 0-2 🇪🇸 Real Madrid ⚽ Carvajal 73’ ⚽ Vini Jr 82’ Dortmund imekubali kipigo cha pili mfululizo kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya zote wakipoteza kwenye dimba la Wembley. Itakumbukwa miaka 11 iliyopita Dortmund ilipoteza fainali dhidi ya Bayern Munich kwenye dimba la Wembley. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kijiwe cha Mashabiki wa Real Madrid (‎Los Blancos)
Top
Bottom