Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha TFF
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mabingwa Wa Kombe La Shirikisho Tangu Lianzishwe (Fat)

Kuanzia mwaka 2003 michuano ya FA haikuwa ikichezwa, hadi pale Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania TFF, walipopata udhamini na wa Azam Media na ndipo mwaka 2015 ilipoanza kuchezwa tena, huku Yanga wakiendeleza ubabe wao tangu waanze kulichukua mwaka 1967 lilikuwa linaitwa kombe la FAT ambapo Yanga iliifunga Liverpool ya ILALA Mabao 2-0

Yanga ilitwaa taji la wanza la ASFC, kwa ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Azam FC, kabla ya Simba kufanya makubwa kwa kuifunga Mbao FC kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

MIKOA ILIYOPIGWA FAINALI.

2015-16- Benjamin Mkapa, Dar Es Salaam.

2016-17-Jamhuri, Dodoma

2017-18- Sheikh Amri Abeid, Ausha

2018-19-Ilulu Lindi.

2019-20-Nelson Mandela, Rukwa

2020-21- Lake Tanganyika, Kigoma

2021-22-Sheikh Amri Abeid- Arusha

2022-23-Mkwakwani Tanga

2023-24- New Aman, Zanzibar

Mabingwa Wa Kombe La Shirikisho Tangu Lianzishwe (Fat)

Yanga SC kachukua mara 7 kuanzia mwaka, 1967,1974,1999,2001,2015/16,, 2021/22, 2022/23

Simba kachukua ubingwa wa FA mara 4 (1995, 2016/17, 2019/20, 2020/21)

Azam FC wao wamechukua ubingwa huo mara moja tu mwaka 2018/18.

Timu zingine zilizowahi kuchukua ubingwa wa FA, Majimaji ya Songea 1985, Sigara FC, 1996, Tanzania Stars 1997, 1998, Mtibwa Sugar 2000, JKT Ruvu 2002, 2003-2015 Haikuchezwa, 2017/18

Je mwaka 2023/24 atachukua nani kati ya Azam FC vs Yanga SC?

[QUOTE="SamMachachali, post: 4602, member: 2307"] Mabingwa Wa Kombe La Shirikisho Tangu Lianzishwe (Fat) Kuanzia mwaka 2003 michuano ya FA haikuwa ikichezwa, hadi pale Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania TFF, walipopata udhamini na wa Azam Media na ndipo mwaka 2015 ilipoanza kuchezwa tena, huku Yanga wakiendeleza ubabe wao tangu waanze kulichukua mwaka 1967 lilikuwa linaitwa kombe la FAT ambapo Yanga iliifunga Liverpool ya ILALA Mabao 2-0 Yanga ilitwaa taji la wanza la ASFC, kwa ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Azam FC, kabla ya Simba kufanya makubwa kwa kuifunga Mbao FC kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma. MIKOA ILIYOPIGWA FAINALI. 2015-16- Benjamin Mkapa, Dar Es Salaam. 2016-17-Jamhuri, Dodoma 2017-18- Sheikh Amri Abeid, Ausha 2018-19-Ilulu Lindi. 2019-20-Nelson Mandela, Rukwa 2020-21- Lake Tanganyika, Kigoma 2021-22-Sheikh Amri Abeid- Arusha 2022-23-Mkwakwani Tanga 2023-24- New Aman, Zanzibar Mabingwa Wa Kombe La Shirikisho Tangu Lianzishwe (Fat) Yanga SC kachukua mara 7 kuanzia mwaka, 1967,1974,1999,2001,2015/16,, 2021/22, 2022/23 Simba kachukua ubingwa wa FA mara 4 (1995, 2016/17, 2019/20, 2020/21) Azam FC wao wamechukua ubingwa huo mara moja tu mwaka 2018/18. Timu zingine zilizowahi kuchukua ubingwa wa FA, Majimaji ya Songea 1985, Sigara FC, 1996, Tanzania Stars 1997, 1998, Mtibwa Sugar 2000, JKT Ruvu 2002, 2003-2015 Haikuchezwa, 2017/18 Je mwaka 2023/24 atachukua nani kati ya Azam FC vs Yanga SC? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha TFF
Top
Bottom