Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha TFF
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

TFF onesheni makucha yenu kwa Feitoto

TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba ukavunjwa na kila mwenye akili timamu alishangaa.

Kwanza mliona amepuuza protokali za mchezo wa final wa kila mchezaji kuvalishwa medali ya dhahabu au shaba lakini yeye akawadharau TFF akaona medali ni kama ushuzi tu.

Mlimfungia Manara Kwa kuzozona na Rais wa TFF, mkamfungia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tabora, mlimfungia Mwakalelebela mkamfungia Nyoso alivomtia dole la kati John Boko n.k Swali ni je, huko Kwa mtoto wa kizimkazi mtamfunyaje? Nyie TFF mlivo waoga? Bila shaka mtakaa kimya.

Itakuwaje mkimwalika Rais wa FIFA avalishe medali then wachezaji wasuse kama alivofanya huyo asiyeguswa wa huko kizimkazi. Mtaiweka wapi aibu?

Sio uanamchezo huo kudharau protokali za mchezo wa final. Kufungwa ni sehemu ya mchezo, ukifungwa kubali na wewe ipo siku utamfunga mwenzako nae atakupa heshima kama guard of honor n.k wanafanya vile sio wajinga ni uanamichezo.

Kwa kifupi nimemdharau.

[QUOTE="Bakari, post: 4766, member: 2316"] [HEADING=2][B]TFF onesheni makucha yenu kwa Feitoto[/B][/HEADING] TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba ukavunjwa na kila mwenye akili timamu alishangaa. Kwanza mliona amepuuza protokali za mchezo wa final wa kila mchezaji kuvalishwa medali ya dhahabu au shaba lakini yeye akawadharau TFF akaona medali ni kama ushuzi tu. Mlimfungia Manara Kwa kuzozona na Rais wa TFF, mkamfungia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tabora, mlimfungia Mwakalelebela mkamfungia Nyoso alivomtia dole la kati John Boko n.k Swali ni je, huko Kwa mtoto wa kizimkazi mtamfunyaje? Nyie TFF mlivo waoga? Bila shaka mtakaa kimya. Itakuwaje mkimwalika Rais wa FIFA avalishe medali then wachezaji wasuse kama alivofanya huyo asiyeguswa wa huko kizimkazi. Mtaiweka wapi aibu? Sio uanamchezo huo kudharau protokali za mchezo wa final. Kufungwa ni sehemu ya mchezo, ukifungwa kubali na wewe ipo siku utamfunga mwenzako nae atakupa heshima kama guard of honor n.k wanafanya vile sio wajinga ni uanamichezo. Kwa kifupi nimemdharau. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha TFF
Top
Bottom