Kijiwe Cha UEFA EURO 2024

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
254
356
25
Hiki ni kijiwe maalum kwa ajili ya michuano ya UEFA kwa ngazi ya timu za taifa

Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German​

Katika michuano ya mwaka huu nchi zilizofuzu ni Germany, Scotland, Hungary, Switzerland,Spain, Croatia, Italy, Albania,Slovenia, Denmark, Serbia, England,Poland*, Netherlands, Austria, France,Belgium, Slovakia, Romania, Ukraine*, Türkiye, Georgia*, Portugal, na Czechia.