Hiki ni kijiwe maalum kwa ajili ya michuano ya UEFA kwa ngazi ya timu za taifa 
Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German
Katika michuano ya mwaka huu nchi zilizofuzu ni Germany, Scotland, Hungary, Switzerland,Spain, Croatia, Italy, Albania,Slovenia, Denmark, Serbia, England,Poland*, Netherlands, Austria, France,Belgium, Slovakia, Romania, Ukraine*, Türkiye, Georgia*, Portugal, na Czechia.