Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha watoto wa Jangwani
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mwamba Huyu Hapa Atajwa Kumalizana Na Yanga

BEKI wa kazi ndani ya FC Lupopo Chadrack Boka anatajwa kumalizana na mabosi wa Yanga kwa ajili ya kuwa ndani ya timu hiyo msimu wa 2024/25.

Beki huyo mwenye miaka 24 raia wa DR Congo Yanga wanatajwa kumalizana naye mapema kwa ajili ya kuimarisha kikosi hicho kinachonolewana Kocha Mkuu, Miguel Gamondi.

Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa ligi wakiwa na pointi zao 80 msimu wa 2023/24 beki wao wa upande wa kushoto chaguo la kwanza alikuwa ni Joyce Lomalisa ambaye anatajwa kwamba anasepa ndani ya kikosi hicho.

Sababu hiyo imewafanya mabosi wa Yanga kuingia chimbo kusaka mashine nyingine ya kazi mapema wamemalizana na beki huyo ambaye atakuja kuchukua mikoba ya Lomalisa.

Ni kandarasi ya miaka miwili inatajwa kwamba amesaini kujiunga na timu hiyo yenye tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.

[QUOTE="Mshua, post: 4601, member: 2315"] [B][I]Mwamba Huyu Hapa Atajwa Kumalizana Na Yanga[/I][/B] BEKI wa kazi ndani ya FC Lupopo Chadrack Boka anatajwa kumalizana na mabosi wa Yanga kwa ajili ya kuwa ndani ya timu hiyo msimu wa 2024/25. Beki huyo mwenye miaka 24 raia wa DR Congo Yanga wanatajwa kumalizana naye mapema kwa ajili ya kuimarisha kikosi hicho kinachonolewana Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa ligi wakiwa na pointi zao 80 msimu wa 2023/24 beki wao wa upande wa kushoto chaguo la kwanza alikuwa ni Joyce Lomalisa ambaye anatajwa kwamba anasepa ndani ya kikosi hicho. Sababu hiyo imewafanya mabosi wa Yanga kuingia chimbo kusaka mashine nyingine ya kazi mapema wamemalizana na beki huyo ambaye atakuja kuchukua mikoba ya Lomalisa. Ni kandarasi ya miaka miwili inatajwa kwamba amesaini kujiunga na timu hiyo yenye tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha watoto wa Jangwani
Top
Bottom