Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha watoto wa Jangwani
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Gamondi anaondoka Yanga?

Miguel Gamondi amesema kwamba baada ya msimu kumalizika akiwa na mafanikio makubwa na klabu hiyo, anahitaji kuondoka Yanga. Gamondi alifunguka kila kitu, baada ya mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho ambapo Yanga walitwaa taji lao la tatu mfululizo.

“Msimu ulikuwa ni mrefu na mgumu. Nahitaji kwenda kupumzika sasa. Nina furaha tumeshinda mataji makubwa, la Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho”

“Naamini hata wazazi wangu mawinguni watakuwa wamefurahi kwa nilichofanya. Nataka kwenda kupumzika sasa nimeimisi familia yangu,”

Msimu uliomalizika kwa Gamondi na Yanga walikuwa na mafanikio makubwa, ubingwa wa Ligi Kuu mara 3 mfululizo na taji hilo kuwa la 30 kwenye historia ya Yanga.

Ubingwa wa 8 wa Kombe la Shirikisho la CRDB, ukiwa ni ubingwa wa 3 mfululizo na wa 4 tangu mashindano hayo yarejee tena mwaka 2015.

Pia kipigo kizito kwa vilabu vyaa Ligi kuu na nje ya Ligi Kuu, Simba ilifungwa goli 7, mzunguko wa kwanza bao 1-5, mzunguko wa pili 2-1.

5G zilikuwa za kutosha na timu zilizoingia kizembe walikutana na msumari wa moto kutoka kwa wananchi, na habari za Yanga leo kutwaa ubingwa wa FA zinazidi kufanya vizuri mitandaoni na duniani kote.

Kufika hatua ya makundi kwa mara ya kwanza baada ya kukaa miaka 25, bila kunusa hatua hiyo Ligi ya Mabingwa Afrika, na walifika hadi hatua ya robo fainali.

[QUOTE="Gamondi, post: 4790, member: 2313"] Gamondi anaondoka Yanga? Miguel Gamondi amesema kwamba baada ya msimu kumalizika akiwa na mafanikio makubwa na klabu hiyo, anahitaji kuondoka Yanga. Gamondi alifunguka kila kitu, baada ya mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho ambapo Yanga walitwaa taji lao la tatu mfululizo. “Msimu ulikuwa ni mrefu na mgumu. Nahitaji kwenda kupumzika sasa. Nina furaha tumeshinda mataji makubwa, la Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho” “Naamini hata wazazi wangu mawinguni watakuwa wamefurahi kwa nilichofanya. Nataka kwenda kupumzika sasa nimeimisi familia yangu,” Msimu uliomalizika kwa Gamondi na Yanga walikuwa na mafanikio makubwa, ubingwa wa Ligi Kuu mara 3 mfululizo na taji hilo kuwa la 30 kwenye historia ya Yanga. Ubingwa wa 8 wa Kombe la Shirikisho la CRDB, ukiwa ni ubingwa wa 3 mfululizo na wa 4 tangu mashindano hayo yarejee tena mwaka 2015. Pia kipigo kizito kwa vilabu vyaa Ligi kuu na nje ya Ligi Kuu, Simba ilifungwa goli 7, mzunguko wa kwanza bao 1-5, mzunguko wa pili 2-1. 5G zilikuwa za kutosha na timu zilizoingia kizembe walikutana na msumari wa moto kutoka kwa wananchi, na habari za Yanga leo kutwaa ubingwa wa FA zinazidi kufanya vizuri mitandaoni na duniani kote. Kufika hatua ya makundi kwa mara ya kwanza baada ya kukaa miaka 25, bila kunusa hatua hiyo Ligi ya Mabingwa Afrika, na walifika hadi hatua ya robo fainali. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha watoto wa Jangwani
Top
Bottom