Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha watoto wa Jangwani
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Viongozi wa Yanga kuweni makini, msije kukurupuka mkamsajili Chama

Eng. Hersi na timu yako nzima ya usajili, mjiadhari na kumsajili Chama kwasasa itakuwa ni kujirudisha nyuma badala ya kusonga mbele. Chama kwenye ubora wake ni mchezaji aliyekuwa anakupa vitu vingi uwanjani ila kwasasa kawa ni mchezaji anayepunguza vitu uwanjani.

Haya ni mapungufu ya Chama

1) mipira ya kugombaniana ya 50/50 Chama hawezi kuingiza mguu wake kugombania, ni mchezaji aliyejiona star na anacheza kwa uoga uwanjani.

2) spidi kwasasa Chama hana na mchezaji anayepoozesha move za kushambulia labda itokee move amekutana nayo huko huko juu ila sio kuanzisha move tokea golini kwenu mtegemee chama nae atengeneze hiyo move. Mechi ya Wydad vs Simba, Simba walipata counter attack ikapigwa pasi mbili tu mpira ukamkuta Chama golini kwa Wydad ila cha ajabu mchezaji wa Wydad katoka nyuma hadi kamkuta Chama na kufanya clearance ule mpira.

3) Chama anashindwa kuwa bora kwasasa sababu ya umri wake na kutumika sana kwenye kikosi cha Simba hivyo hawezi kutoa kilicho bora kwavile kaishamaliza peak yake.

4) Aina ya mpira wa Gamondi haumfai Chama wa sasa, Gamondi anapenda mpira wa kasi sana na kukaba sana ili retain possession ya mpira. Hivyo mfumo huu unawafanya kila mchezaji ajitume kwa kukaba na kuwa sharp kufanya making. Embu angalia kikosi cha Yanga ni nani akipoteza mpira anaganda tu kama sanamu? Aziz Ki, Pacome, Max, Guede, Musonda, Mzize, hao ni wachezaji wa safu ya ushambuliaji lakini wanakaba ile mbaya. Chama mpira wa Gamondi hatoweza kwa uvivu, ustaa, na umri wake anahitaji kucheza timu za mchezo wa taratibu.

Kama viongozi mnalengo la kumsajili Chama kwa lengo la kuwakomoa tu Simba basi wamsajili, ila kama lengo ni kuboresha kikosi basi wajue Chama hatokuwa na tofauti na Okrah kwa kuishia kukaa benchi na mbaya zaidi ni wachezaji wa kigeni. Yanga inabidi ivuke mafanikio ya msimu huu klabu bingwa kwa kucheza fainali au nusu fainali japo msimu huu tulitaka kuiweka bila kudhurumiwa haki dhidi ya Mamelodi hivyo msimu ujao inabidi kudhihirisha kwa Africa kuwa kweli tulistahili na hatukubahatisha.

Chama sio wa kutusaidia kwa jinsi alivyo kwa sasa.

[QUOTE="Gamondi, post: 4792, member: 2313"] [B]Viongozi wa Yanga kuweni makini, msije kukurupuka mkamsajili Chama[/B] Eng. Hersi na timu yako nzima ya usajili, mjiadhari na kumsajili Chama kwasasa itakuwa ni kujirudisha nyuma badala ya kusonga mbele. Chama kwenye ubora wake ni mchezaji aliyekuwa anakupa vitu vingi uwanjani ila kwasasa kawa ni mchezaji anayepunguza vitu uwanjani. Haya ni mapungufu ya Chama 1) mipira ya kugombaniana ya 50/50 Chama hawezi kuingiza mguu wake kugombania, ni mchezaji aliyejiona star na anacheza kwa uoga uwanjani. 2) spidi kwasasa Chama hana na mchezaji anayepoozesha move za kushambulia labda itokee move amekutana nayo huko huko juu ila sio kuanzisha move tokea golini kwenu mtegemee chama nae atengeneze hiyo move. Mechi ya Wydad vs Simba, Simba walipata counter attack ikapigwa pasi mbili tu mpira ukamkuta Chama golini kwa Wydad ila cha ajabu mchezaji wa Wydad katoka nyuma hadi kamkuta Chama na kufanya clearance ule mpira. 3) Chama anashindwa kuwa bora kwasasa sababu ya umri wake na kutumika sana kwenye kikosi cha Simba hivyo hawezi kutoa kilicho bora kwavile kaishamaliza peak yake. 4) Aina ya mpira wa Gamondi haumfai Chama wa sasa, Gamondi anapenda mpira wa kasi sana na kukaba sana ili retain possession ya mpira. Hivyo mfumo huu unawafanya kila mchezaji ajitume kwa kukaba na kuwa sharp kufanya making. Embu angalia kikosi cha Yanga ni nani akipoteza mpira anaganda tu kama sanamu? Aziz Ki, Pacome, Max, Guede, Musonda, Mzize, hao ni wachezaji wa safu ya ushambuliaji lakini wanakaba ile mbaya. Chama mpira wa Gamondi hatoweza kwa uvivu, ustaa, na umri wake anahitaji kucheza timu za mchezo wa taratibu. Kama viongozi mnalengo la kumsajili Chama kwa lengo la kuwakomoa tu Simba basi wamsajili, ila kama lengo ni kuboresha kikosi basi wajue Chama hatokuwa na tofauti na Okrah kwa kuishia kukaa benchi na mbaya zaidi ni wachezaji wa kigeni. Yanga inabidi ivuke mafanikio ya msimu huu klabu bingwa kwa kucheza fainali au nusu fainali japo msimu huu tulitaka kuiweka bila kudhurumiwa haki dhidi ya Mamelodi hivyo msimu ujao inabidi kudhihirisha kwa Africa kuwa kweli tulistahili na hatukubahatisha. Chama sio wa kutusaidia kwa jinsi alivyo kwa sasa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha watoto wa Jangwani
Top
Bottom