Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MSIMU UJAO SIMBA TUJIPANGE VIPI?

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ni huzuni kubwa imetawala kwa wakati huu kutokana na kushindwa kufikia malengo yao kwa asilimia kubwa msimu wa 2023/24.

Ipo wazi kuwa ni namba tatu imegotea kwenye ligi ikiwa na pointi 69 tofauti ya mabao ya kufungwa na kufunga dhidi ya Azam FC iliyomaliza ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo. CRDB Federation Cup imepishana nalo kama ilivyokuwa kwenye taji la ligi.

Ukuta ule wa Simba wenye Che Malone baada ya mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 uliruhusu mabao 25 na safu ya ushambuliaji ilifunga mabao 59.

Wakati Simba ikishuhudia taji la ligi likiwa mikononi mwa Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika iligotea hatua ya robo fainali ikikwama kutwaa taji hilo kubwa Afrika na iliposhiriki African Football Cup iligotea hatua ya robo fainali.

Simba ni mashuhuda wa bingwa mpya wa CRDB Federation Cup kuwa ni Yanga iliyoshinda kwa penalti 6-5 dhidi ya Azam FC kwenye fainali iliyochezwa Juni 2 2024, Uwanja wa New Amaan Complex..

[QUOTE="DeviMitupio, post: 4691, member: 2312"] MSIMU UJAO SIMBA TUJIPANGE VIPI? UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ni huzuni kubwa imetawala kwa wakati huu kutokana na kushindwa kufikia malengo yao kwa asilimia kubwa msimu wa 2023/24. Ipo wazi kuwa ni namba tatu imegotea kwenye ligi ikiwa na pointi 69 tofauti ya mabao ya kufungwa na kufunga dhidi ya Azam FC iliyomaliza ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo. CRDB Federation Cup imepishana nalo kama ilivyokuwa kwenye taji la ligi. Ukuta ule wa Simba wenye Che Malone baada ya mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 uliruhusu mabao 25 na safu ya ushambuliaji ilifunga mabao 59. Wakati Simba ikishuhudia taji la ligi likiwa mikononi mwa Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika iligotea hatua ya robo fainali ikikwama kutwaa taji hilo kubwa Afrika na iliposhiriki African Football Cup iligotea hatua ya robo fainali. Simba ni mashuhuda wa bingwa mpya wa CRDB Federation Cup kuwa ni Yanga iliyoshinda kwa penalti 6-5 dhidi ya Azam FC kwenye fainali iliyochezwa Juni 2 2024, Uwanja wa New Amaan Complex.. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi
Top
Bottom