Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Usajili Wa Kimyakimya Umeanza SIMBA SC Kwa Kiungo Huyu Hapa

KLABU ya Simba SC Inafanya mambo yake kimya kimya ambapo kwa sasa imeelekeza jicho lake, kwa Kiungo mkata umeme aliyekuwa anakipiga SC Villa, Jina la Kenneth Semakula ni moja ya saini inayowindwa sana na mimba hiyo ya TANZANIA ili kujiunga msimu ujao.

Uongozi wa Simba unaamini kiungo huyo wanaweza kumpata kwa gharama ndogo kwa sababu, ni mchezaji ambaye yupo huru sokoni na wanamuona ataleta tija kikosini humo baada ya kutokuwa na matumaini na Msenegali, Babacar Sarr.

Mganda huyo amekuwa na kiwango bora sana kwa msimu uliomalizika, akiwa ameisaidia timu yake kutwaa ubingwa wa Ligi hiyo na kuifanya kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2024/25

Kwa hapa Tanzania Kenneth Semakula amekuwa akihitajika na vila viwili, Azam FC na Simba SC, ambapo kila mmoja amekuwa akifanya nae mazungumzo, lakini hadi sasa Mnyama anapewa nafasi kubwa ya kuinasa saini ya kiungo huyo.

Simba inataka kuona kama wanaweza kupata bahati kama waliyoipata kwa Thadeo Lwanga ambaye ni Mganda aliyefanya vizuri sana klabuni hapo.

Simba inatakiwa kuboresha maeneo gani kwenye kikosi chake?

[QUOTE="Mshua, post: 4763, member: 2315"] [B][I]Usajili Wa Kimyakimya Umeanza SIMBA SC Kwa Kiungo Huyu Hapa [/I][/B] KLABU ya Simba SC Inafanya mambo yake kimya kimya ambapo kwa sasa imeelekeza jicho lake, kwa Kiungo mkata umeme aliyekuwa anakipiga SC Villa, Jina la Kenneth Semakula ni moja ya saini inayowindwa sana na mimba hiyo ya TANZANIA ili kujiunga msimu ujao. Uongozi wa Simba unaamini kiungo huyo wanaweza kumpata kwa gharama ndogo kwa sababu, ni mchezaji ambaye yupo huru sokoni na wanamuona ataleta tija kikosini humo baada ya kutokuwa na matumaini na Msenegali, Babacar Sarr. Mganda huyo amekuwa na kiwango bora sana kwa msimu uliomalizika, akiwa ameisaidia timu yake kutwaa ubingwa wa Ligi hiyo na kuifanya kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2024/25 Kwa hapa Tanzania Kenneth Semakula amekuwa akihitajika na vila viwili, Azam FC na Simba SC, ambapo kila mmoja amekuwa akifanya nae mazungumzo, lakini hadi sasa Mnyama anapewa nafasi kubwa ya kuinasa saini ya kiungo huyo. Simba inataka kuona kama wanaweza kupata bahati kama waliyoipata kwa Thadeo Lwanga ambaye ni Mganda aliyefanya vizuri sana klabuni hapo. [B][I]Simba inatakiwa kuboresha maeneo gani kwenye kikosi chake?[/I][/B] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi
Top
Bottom