Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Moja ya vitu ambavyo Simba na viongozi wake wanaferi ni eneo la usajili, sasa hivi wanaongelea kusajili lakini wakati huo huo hawana majibu kama mgunda wanampa timu ama lah!

Kama Mgunda anapewa timu basi wafanye usajili kupitia ripoti ya Mgunda, na kama wanatafuta kocha mpya wanatakiwa wampate kocha kwanza ndio atoe mapendekezo yake kulingana na mfumo wake anaopenda kutumia na aina ya wachezaji anaowataka kuwatumia ili wafit kwenye mfumo wake!

Huwezi kutumia ripoti ya kocha mwingine kumsajilia wachezaji kocha mwingine maana ujui huyo kocha mpya atahitaji wachezaji wa aina gani ili wafiti kwenye mifumo yake!

Kwa maana hiyo Simba kama anataka kufanya mambo kiuweledi anatakiwa apate kocha mpya kwanza na yeye ndio atoe mapendekezo ya usajili, vinginevyo yatakuwa yanajirudia yale yale ya kocha kuwapiga benchi wachezaji waliosajiliwa kwa gharama kubwa kwa kuwa atawaambia hawafit kwenye mifumo yake!

Kama Mgunda anapewa timu haina shida ripoti yake itumike lakini kama anaondoshwa iyo report haina maana!

Ni ushauri tu tunawapa mkipenda mchukue mkipenda mnaacha!

[QUOTE="Bakari, post: 4788, member: 2316"] Moja ya vitu ambavyo Simba na viongozi wake wanaferi ni eneo la usajili, sasa hivi wanaongelea kusajili lakini wakati huo huo hawana majibu kama mgunda wanampa timu ama lah! Kama Mgunda anapewa timu basi wafanye usajili kupitia ripoti ya Mgunda, na kama wanatafuta kocha mpya wanatakiwa wampate kocha kwanza ndio atoe mapendekezo yake kulingana na mfumo wake anaopenda kutumia na aina ya wachezaji anaowataka kuwatumia ili wafit kwenye mfumo wake! Huwezi kutumia ripoti ya kocha mwingine kumsajilia wachezaji kocha mwingine maana ujui huyo kocha mpya atahitaji wachezaji wa aina gani ili wafiti kwenye mifumo yake! Kwa maana hiyo Simba kama anataka kufanya mambo kiuweledi anatakiwa apate kocha mpya kwanza na yeye ndio atoe mapendekezo ya usajili, vinginevyo yatakuwa yanajirudia yale yale ya kocha kuwapiga benchi wachezaji waliosajiliwa kwa gharama kubwa kwa kuwa atawaambia hawafit kwenye mifumo yake! Kama Mgunda anapewa timu haina shida ripoti yake itumike lakini kama anaondoshwa iyo report haina maana! Ni ushauri tu tunawapa mkipenda mchukue mkipenda mnaacha! [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi
Top
Bottom