Kijiwe maalumu cha LaLiga (Ligi kuu ya Hispania)

Mkwavinyika

Administrator
Staff member
Dec 2, 2021
49
9
26
Dar es Salaam
LaLiga.svg


Current champion: Atlético de Madrid (11th title)
Number of teams: 20
President: Javier Tebas
CEO: Javier Gómez Molina (2013–)
Founder:
José María Acha Larrea

Screenshot 2021-12-17 at 02.43.12.png

Screenshot 2021-12-17 at 02.43.34.png

Msimamo wa Ligi: Matokeo haya ni mubashara, yanabadilika jinsi mechi zinavyoendelea.



Mechi Zinazofuata: Matokeo haya ni mubashara, yanabadilika jinsi mechi zinavyoendelea.



Wafungaji bora wa Ligi: Matokeo haya ni mubashara, yanabadilika jinsi mechi zinavyoendelea.

 
Last edited:

vuligate

Mgeni
Dec 17, 2021
395
3
5
Real Madrid dhidi ya Cadiz:
Mashuti: 36
Magoli: 0
FT': Real Madrid 0-0 Cadiz
 

Attachments

  • real.PNG
    real.PNG
    632.8 KB · Somwa: 0

vuligate

Mgeni
Dec 17, 2021
395
3
5
Karim Benzema katika La Liga msimu huu:
🏟️
Mechi: 18
⚽
Mabao: 15
🅰️
Assists: 7
Ana umri wa miaka 34, safari ya kuitafuta Ballon D'Or inaendelea
1640251836138.png
 

vuligate

Mgeni
Dec 17, 2021
395
3
5
FULL TIME
Granada 2-1 Atlético
° Atlético wamepoteza mechi ya nne mfululizo ya La Liga
° Wapo nyuma kwa alama 14 dhidi ya Real Madrid ambao wanashuka dimbani muda mchache ujao
Timu za La Liga msimu huu zinafikirisha sana
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Akiwa na vijana tisa kutoka timu B aliosafiri nao kutokana na wachezaji muhimu kukumbwa na majeraha pamoja na COVID-19, Xavi Hernandez amebeba alama zote tatu
FT: Mallorca 0-1 Barcelona
⚽
44': Luuk De Jong
1641190430929.png
 

vuligate

Mgeni
Dec 17, 2021
395
3
5
Ferran Torres ndani ya dimba la Camp Nou.
Hii leo ilikuwa ni siku yake ya kutambulishwa mbele ya mashabiki wa timu hiyo.
1641280959513.png
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
FULL TIME
Linares 1-2 Barcelona
⚽
19': Hugo Dias
⚽
63': Dembele
⚽
69': Jutgla
Fc Barcelona wamefanya Come Back na kufuzu hatua inayofuata ya Copa Del Rey.
1641459702549.png
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Ferran Torres amepewa jezi namba 19 ndani ya Fc Barcelona iliyokuwa inavaliwa na Sergio Aguero aliyestaafu soka kutokana na matatizo ya moyo.
Ferran anatarajia kuanza kuitumikia timu hiyo hii leo katika mchezo wa Spanish Super Cup dhidi ya Real Madrid.
1641964890858.png
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania

REAL WAIPIGA BARCA 3-2 KUTWAA SUPER CUP.​

1642052323953.png
TIMU ya Real Madrid imefanikiwa kutwaa taji la Super Cup ya Hispania baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Barcelona katika mchezo uliodumu kwa dakika 120 usiku wa Jumatano Uwanja wa King Fahd International Jijini Riyadh, Saudi Arabia.
Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Vinicius Junior dakika ya 25, Karim Benzema dakika ya 72 na Federico Valverde dakika ya 98, wakati ya Barcelona yamefungwa na Luuk de Jong dakika ya 41 Ansu Fati dakika ya 83.
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania

REAL MADRID WATWAA SUPER CUP YA 12 HISPANIA​

1642397571596.png
TIMU ya Real Madrid imefanikiwa kutwaa taji la Super Cup Hispania baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Athletic Bilbao Jumapili Uwanja wa King Fahd International Jijini Riyadh, Saudi Arabia.
Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Luka Modric dakika ya 38 na la penalti la Karim Benzema dakika ya 52, ingawa wakamaliza pungufu kufuatia Eder Militao kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 87.
Hilo linakuwa taji la 11 ya Spanish Super Cup kwa Real Madrid na kabla ya hapo mara ya mwisho walitwaa mwaka 2020, kabla ya kufungwa na Athletic Bilbao kwenye Nusu Fainali ya michuano hiyo msimu uliopita.
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
🚨
Klabu ya Real Madrid imepanga kutumia kiasi cha £292m kwaajili ya kuhakikisha wanaipata saini ya mshambuliaji hatari wa Dortmund Erling Haaland ifikapo mwishoni mwa msimu huu.
(Source: Daily Mirror)
Takwimu zake akiwa na Dortmund
🏟
Mechi: 77
⚽
Magoli: 78
Inaweza kuwa picha ya Watu 2 na watu wanacheza spoti
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
42’—Real Madrid 0-1 Elche
76’—Real Madrid 0-2 Elche
82’—Real Madrid 1-2 Elche
90+2’—Real Madrid 2-2 Elche
FT':____Real Madrid 2-2 Elche
Mikeka inasemaje
😅

272312572_5026640004062576_3598340528704917839_n.jpg