Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kijiwe maalumu cha LaLiga (Ligi kuu ya Hispania)
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

REAL MADRID WATWAA SUPER CUP YA 12 HISPANIA

[ATTACH=full]320[/ATTACH]

TIMU ya Real Madrid imefanikiwa kutwaa taji la Super Cup Hispania baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Athletic Bilbao Jumapili Uwanja wa King Fahd International Jijini Riyadh, Saudi Arabia.

Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Luka Modric dakika ya 38 na la penalti la Karim Benzema dakika ya 52, ingawa wakamaliza pungufu kufuatia Eder Militao kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 87.

Hilo linakuwa taji la 11 ya Spanish Super Cup kwa Real Madrid na kabla ya hapo mara ya mwisho walitwaa mwaka 2020, kabla ya kufungwa na Athletic Bilbao kwenye Nusu Fainali ya michuano hiyo msimu uliopita.

[QUOTE="Amir, post: 406, member: 20"] [HEADING=2]REAL MADRID WATWAA SUPER CUP YA 12 HISPANIA[/HEADING] [ATTACH type="full"]320[/ATTACH] TIMU ya Real Madrid imefanikiwa kutwaa taji la Super Cup Hispania baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Athletic Bilbao Jumapili Uwanja wa King Fahd International Jijini Riyadh, Saudi Arabia. Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Luka Modric dakika ya 38 na la penalti la Karim Benzema dakika ya 52, ingawa wakamaliza pungufu kufuatia Eder Militao kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 87. Hilo linakuwa taji la 11 ya Spanish Super Cup kwa Real Madrid na kabla ya hapo mara ya mwisho walitwaa mwaka 2020, kabla ya kufungwa na Athletic Bilbao kwenye Nusu Fainali ya michuano hiyo msimu uliopita. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kijiwe maalumu cha LaLiga (Ligi kuu ya Hispania)
Top
Bottom