Kikosi cha Mnyama kinachoanza dhidi ya Horoya AC

Feb 7, 2023
61
36
5
20230211_180939.jpg

Kocha kaamua kwenda na 4-3-3,lengo Lake kubwa ni kutawala eneo la kati ya uwanja huku akishambulia kwa idadi kubwa ya wachezaji na kuzuia na 4-4-2.

Vipi kocha mpango wake upo sahihi?