Kikosi cha Simba kimerudi Dar

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Simba Kikosi chake kimerudi jijini Dar es Salaam na moja kwa moja wameingiaa kambini kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Ihefu FC ambao utachezwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkapa. uwanja wa Simba wa nyumbani
22277bff-70d4-42c1-8045-71eb33e93612.jpg
ee07a93f-59d6-4709-8df3-be83e7734bac.jpg