Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kikosi cha Yanga dhidi ya KMC Nabi kafanya mabadiliko makubwa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nabi amefanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi kinachoenda kukutana na KMC baada ya kutoka kukipiga na TP Mazembe match za kimataifa

Professor Nabi hatabiriki kabisa kamuanzisha Bayson, Bacca, Mwanyeto, Clement, Ambundo hawa wote kwenye kikosi chake kawaida wanatokeaga bench.

Huku wakitokea bench Djuma, Bangala, Lomalisa wamekua wakianza kwenye mechi nyingi, Moloko amekua akianza kila mechi hata kimataifa, Mudathiri ambae amekua akinza kwenye kikosi tangu ajiunge na Yanga, na Hata Mayele mshambuliaji pekee ambae kikawaida ni mchezaji muhimu na tegemeo kubwa kwenye kikosi cha Yanga.

Nabi anataka kutupa somo gani ukiacha suprise ya Juzi dhidi ya TP Mazembe leo tena anaenda kutupa somo tofauti je itakua mserereko kwa KMC, bahati au chance dakika 90 zitatupa jibu nini Nabi anataka kuonesha.

Labda ni kikosi kipana cha Yanga wanacho na sio rahisi sana kuweza kufanya rotation kama ya Nabi  jinsi unavyopanga kikosi hakuna anayeweka kutabiri aisee. Afu utakuta hana hata Pressure na kikosi chake.

All the best Wananchii

Nini maoni yako kwenye mabadiliko haya?

[ATTACH=full]1257[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 3403, member: 464"] Nabi amefanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi kinachoenda kukutana na KMC baada ya kutoka kukipiga na TP Mazembe match za kimataifa Professor Nabi hatabiriki kabisa kamuanzisha Bayson, Bacca, Mwanyeto, Clement, Ambundo hawa wote kwenye kikosi chake kawaida wanatokeaga bench. Huku wakitokea bench Djuma, Bangala, Lomalisa wamekua wakianza kwenye mechi nyingi, Moloko amekua akianza kila mechi hata kimataifa, Mudathiri ambae amekua akinza kwenye kikosi tangu ajiunge na Yanga, na Hata Mayele mshambuliaji pekee ambae kikawaida ni mchezaji muhimu na tegemeo kubwa kwenye kikosi cha Yanga. Nabi anataka kutupa somo gani ukiacha suprise ya Juzi dhidi ya TP Mazembe leo tena anaenda kutupa somo tofauti je itakua mserereko kwa KMC, bahati au chance dakika 90 zitatupa jibu nini Nabi anataka kuonesha. Labda ni kikosi kipana cha Yanga wanacho na sio rahisi sana kuweza kufanya rotation kama ya Nabi 🙌 jinsi unavyopanga kikosi hakuna anayeweka kutabiri aisee. Afu utakuta hana hata Pressure na kikosi chake. All the best Wananchii ✅ Nini maoni yako kwenye mabadiliko haya? [ATTACH type="full"]1257[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kikosi cha Yanga dhidi ya KMC Nabi kafanya mabadiliko makubwa
Top
Bottom