Kikosi cha Yanga Kimewasili Mwanza

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Kikosi cha Yanga kimewasili mwanza usiku wa kuamkia leo kwaajili yakujiandaa na Mchezo wao unaofata wa Ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa hapo kesho katika uwanja wa Kirumba Mwanza.
FhUaoajXwAAHilh.jpg
FhUaoajXwAEoBIj.jpg