Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kila la kheri Mnyama
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba leo watashuka dimbani kwenye mchezo wao wa pili hatua ya makundi wakiwakaribisha Raja Casablanca kutoka Morocco.

Simba wataingia wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Horoya Ac ugenini,hivyo ataingia akiwa anahitaji alama 3 muhimu kurudisha hali ya kujiamini.

Faida watakayoingia nayo leo ni kucheza mbele ya mashabiki wao 60,000 na wamekuwa na historia nzuri wanapocheza kwenye uwanja wa Mkapa.

Wamekuwa wakiondoka na ushindi dhidi ya mpinzani wao yeyote wanaekabiliana nae kwenye michuano ya CAF.

Mashabiki wa Simba,wadau wa Soka na Serikali kwa ujumla ipo nyuma ya Simba leo kila la kheri Mnyama. [ATTACH=full]1236[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3369, member: 622"] Simba leo watashuka dimbani kwenye mchezo wao wa pili hatua ya makundi wakiwakaribisha Raja Casablanca kutoka Morocco. Simba wataingia wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Horoya Ac ugenini,hivyo ataingia akiwa anahitaji alama 3 muhimu kurudisha hali ya kujiamini. Faida watakayoingia nayo leo ni kucheza mbele ya mashabiki wao 60,000 na wamekuwa na historia nzuri wanapocheza kwenye uwanja wa Mkapa. Wamekuwa wakiondoka na ushindi dhidi ya mpinzani wao yeyote wanaekabiliana nae kwenye michuano ya CAF. Mashabiki wa Simba,wadau wa Soka na Serikali kwa ujumla ipo nyuma ya Simba leo kila la kheri Mnyama. [ATTACH type="full"]1236[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kila la kheri Mnyama
Top
Bottom