Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kila la kheri Wananchi, Mwarabu anafungika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Jioni ya leo Yanga watatupa karata yao ya kwanza kwenye kombe la Shirikisho dhidi ya Us Monastir huko Tunisia.

Kumbukumbu nzuri kwa Yanga ni mara ya mwisho kucheza kwenye ardhi ya Tunisia walifanikiwa kuwafunga Club Africain kwenye hatua ya mtoano.

Hivyo leo wataingia kwa lengo la kutafuta alama tatu au moja, ingawa haitakuwa rahisi kama hawatajiandaa vizuri.

Us Monastir wapo kwenye kiwango bora sana kwa siku za hivi karibuni, katika mechi tano za mwisho walizocheza nyumbani wameshinda mechi nne na kupoteza moja dhidi ya Al Alhly.

Wakati Yanga kwenye mechi tano za ugenini wamepoteza nne na kushinda moja dhidi ya Club Africain,sio namba nzuri lakini wanatakiwq kufuta hilo vichwani mwao na kuingia na malengo mengine hii leo ambayo ni alama muhimu.

Ubora wa kikosi cha Yanga na benchi lao la ufundi chini ya Nabi ni silaha yao kuelekea mchezo wao leo.

[ATTACH=full]1203[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3264, member: 622"] Jioni ya leo Yanga watatupa karata yao ya kwanza kwenye kombe la Shirikisho dhidi ya Us Monastir huko Tunisia. Kumbukumbu nzuri kwa Yanga ni mara ya mwisho kucheza kwenye ardhi ya Tunisia walifanikiwa kuwafunga Club Africain kwenye hatua ya mtoano. Hivyo leo wataingia kwa lengo la kutafuta alama tatu au moja, ingawa haitakuwa rahisi kama hawatajiandaa vizuri. Us Monastir wapo kwenye kiwango bora sana kwa siku za hivi karibuni, katika mechi tano za mwisho walizocheza nyumbani wameshinda mechi nne na kupoteza moja dhidi ya Al Alhly. Wakati Yanga kwenye mechi tano za ugenini wamepoteza nne na kushinda moja dhidi ya Club Africain,sio namba nzuri lakini wanatakiwq kufuta hilo vichwani mwao na kuingia na malengo mengine hii leo ambayo ni alama muhimu. Ubora wa kikosi cha Yanga na benchi lao la ufundi chini ya Nabi ni silaha yao kuelekea mchezo wao leo. [ATTACH type="full"]1203[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kila la kheri Wananchi, Mwarabu anafungika
Top
Bottom