Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
KIMATAIFA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kocha Brazil Atimuliwa Kazi Baada ya Kumpiga Kichwa Mwamuzi wa Kike

Meneja wa Desportivo Rafael Soriano akimpiga kichwa mwamuzi wa kike Marcielly Netto

KOCHA wa Klabu ya Desportivo Ferroviaria inayoshiriki daraja la tano nchini Brazil Rafael Soriano ametimuliwa kazi baada ya kumpiga kicwa mwamuzi wa pembeni na kusababisha kumpasua pua.

Tukio hilo limetokea katika pambano la robo fainali kati ya Desportivo Ferroviaria dhidi ya Nove Venecia ambapo Nova walishinda kwa jumla ya mabao 3-1.

Mwamuzi msaidizi Marcielly Netto alipoingilia kumzuia kocha wa Desportivo

Kocha wa Desportivo Rafael Soriano aliingia uwanjani baada ya kipindi cha kwanza kumalizika akienda kupinga maamuzi ya mwamuzi wa kati wa mchezo lakini mwamuzi msaidizi mwanadada Marcielly Netto akaingilia kati ili kumzuia ndipo hapo alipoambulia ndoo ya maana na kupasuka pua.

Mara baada ya tukio hilo Klabu ya Desportivo Ferroviaria ilitoa taarifa ya kumtimua kazi kutokana na kitendo hicho.

[QUOTE="mhariri, post: 1413, member: 122"] [HEADING=1]Kocha Brazil Atimuliwa Kazi Baada ya Kumpiga Kichwa Mwamuzi wa Kike[IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/batch_image_750x_625594425396c.jpg[/IMG][/HEADING] [I][B] Meneja wa Desportivo Rafael Soriano akimpiga kichwa mwamuzi wa kike Marcielly Netto[/B][/I] KOCHA wa Klabu ya Desportivo Ferroviaria inayoshiriki daraja la tano nchini Brazil Rafael Soriano ametimuliwa kazi baada ya kumpiga kicwa mwamuzi wa pembeni na kusababisha kumpasua pua. Tukio hilo limetokea katika pambano la robo fainali kati ya Desportivo Ferroviaria dhidi ya Nove Venecia ambapo Nova walishinda kwa jumla ya mabao 3-1. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/1649682810_Rafael-Soriano-manager-of-Desportiva-Ferroviaria-dismissed-after-headbutting-the.jpg[/IMG] [I][B] Mwamuzi msaidizi Marcielly Netto alipoingilia kumzuia kocha wa Desportivo[/B][/I] Kocha wa Desportivo Rafael Soriano aliingia uwanjani baada ya kipindi cha kwanza kumalizika akienda kupinga maamuzi ya mwamuzi wa kati wa mchezo lakini mwamuzi msaidizi mwanadada Marcielly Netto akaingilia kati ili kumzuia ndipo hapo alipoambulia ndoo ya maana na kupasuka pua. Mara baada ya tukio hilo Klabu ya Desportivo Ferroviaria ilitoa taarifa ya kumtimua kazi kutokana na kitendo hicho. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
KIMATAIFA
Top
Bottom