Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
KIMATAIFA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Orlando Pirates Wataja Siku ya Kutua Nchini Alhamisi kwa Ajili ya Kuwawinda Simba

UONGOZI wa klabu ya Orlando Pirates umeweka wazi kuwa utatua nchini Alhamisi au Ijumaa tayari kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Simba.

Mchezo huo unatarajiwa kufanyika Aprili 17 katika Uwanja wa Mkapa ambapo Orlando Pirates watakuwa wageni wa Simba katika robo fainali hiyo ya kwanza.

Akzungumza na Championi Jumatano, Ofisa Mtendaji wa Orlando Pirates, Floyd Mbele alisema kuwa mara baada ya kumaliza mchezo wao wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini uliopigwa jana wataangalia uwezekano wa kuondoka siku hiyo au kesho yake jambo ambalo litawafanya kufika Tanzania kati ya Alhamisi au Ijumaa tayari kwa maandalizi ya mchezo wao na Simba.

“Tukimaliza mchezo wetu wa ligi kuu ndio tutafahamu tutaondoka siku hiyo au kesho yake hivyo uhakika mzuri wa sisi kufika Tanzania ni kati ya Alhamisi au Ijumaa tayari kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wetu dhidi Simba.

“Malengo yetu yalikuwa ni kufika mapema Tanzania ili tuweze kuweka mipango yetu vizuri na kuzoea hali ya hewa lakini imeshindikana kutokana na kubanwa na ratiba ya michezo ya ligi kuu, lakini tunaimani kila kitu kitakuwa sawa,” alisema kiongozi huyo.

[QUOTE="mhariri, post: 1414, member: 122"] [HEADING=1]Orlando Pirates Wataja Siku ya Kutua Nchini Alhamisi kwa Ajili ya Kuwawinda Simba [/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/default.jpg[/IMG] UONGOZI wa klabu ya Orlando Pirates umeweka wazi kuwa utatua nchini Alhamisi au Ijumaa tayari kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Simba. Mchezo huo unatarajiwa kufanyika Aprili 17 katika Uwanja wa Mkapa ambapo Orlando Pirates watakuwa wageni wa Simba katika robo fainali hiyo ya kwanza. Akzungumza na Championi Jumatano, Ofisa Mtendaji wa Orlando Pirates, Floyd Mbele alisema kuwa mara baada ya kumaliza mchezo wao wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini uliopigwa jana wataangalia uwezekano wa kuondoka siku hiyo au kesho yake jambo ambalo litawafanya kufika Tanzania kati ya Alhamisi au Ijumaa tayari kwa maandalizi ya mchezo wao na Simba. “Tukimaliza mchezo wetu wa ligi kuu ndio tutafahamu tutaondoka siku hiyo au kesho yake hivyo uhakika mzuri wa sisi kufika Tanzania ni kati ya Alhamisi au Ijumaa tayari kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wetu dhidi Simba. “Malengo yetu yalikuwa ni kufika mapema Tanzania ili tuweze kuweka mipango yetu vizuri na kuzoea hali ya hewa lakini imeshindikana kutokana na kubanwa na ratiba ya michezo ya ligi kuu, lakini tunaimani kila kitu kitakuwa sawa,” alisema kiongozi huyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
KIMATAIFA
Top
Bottom