KING
Namshukuru Mungu kwa kunipa uhai uliopelekea kumuona Lionel Andreas Guccitini Messi Lapulga katika zama zake
Full Argentina 2 - 1 Australia
35' Lionel Messi
57' J. Alvarez
77' C. Goodwin
TOM CRUZ FACTS
Messi amefanikiwa kucheza mchezo wake wa 1,000 kwenye Career yake
1,000 - Michezo
789 - Goals scored
338 - Assists
1,127 - Goals involved
Messi amefunga goli lake la kwanza kwenye historia katika hatua ya mtoano kwenye World cup in his career so far.
09 - Michezo
791' - Dakika alizocheza
24 - Shots
01 - Goal
Messi kwenye timu ya taifa
169 - Michezo
94 - Magoli
Messi amempiku legend Maradona kwa idadi ya magoli kwenye kombe la Dunia kwa Wachezaji wa Argentina
1. 10 - Gabriel Batistuta
2. 09 - Lionel Messi
3. 08 - Diego Maradona
Argentina watakutana na Netherlands kwenye robo fainali ya World cup 2022.
Netherlands Argentina
Messi hajawahi kupoteza mchezo wowote dhidi ya Netherlands !
World cup group stage
2006 - 0 - 0
World cup semi final !
2014 - 0 - 0 = Penati 4 - 2
Messi amechaguliwa kuwa Man of the match kwa mara ya (8) kwenye kombe la Dunia .. Mara nyingi zaidi kuliko mchezaji yoyote kwenye historia
1. 08 - Lionel Messi
2. 07 - Cristiano Ronaldo
GOAT