Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kiungo wa zamani wa Arsenal, Real Madrid na Ujerumani, Mesut Ozil ametangaza kustaafu soka akiwa na miaka 34.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kiungo wa zamani wa Arsenal, Real Madrid na Ujerumani, Mesut Ozil ametangaza kustaafu soka akiwa na miaka 34.

Ozil aliichezea Arsenal mara 254 na kushinda Vikombe vinne vya FA akiwa na The Gunners.

Ozil pia alichezea Real Madrid mechi 159, akishinda LaLiga na Copa del Rey.

Mesut Ozil aliichezea Ujerumani mechi 92, akifunga mabao 23 na kubeba Kombe la Dunia mwaka 2014.

Ozil ametangaza kustaafu soka kufuatia majeraha ambayo yameathiri uchezaji wake.

Mchezo wake wa mwisho ulikuwa Februari 2 wakati Istanbul Basaksehir ilipochapwa 1-0 na Kayserispor kwenye Ligi Kuu ya Uturuki.

Baada ya miaka 17 ya kuwa mchezaji wa soka wa kulipwa, Ozil ameamua kustaafu soka mara moja.

Ozil alikuwa na safari ya ajabu ya mpira wa miguu ambayo ilikuwa na nyakati na hisia zisizoweza kusahaulika.

Ozil amemaliza kazi yake kwa vilabu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Schalke, Werder Bremen, Real Madrid, Arsenal, Fenerbahce, na Basaksehir.

Ozil anashukuru mashabiki wake wote ambao wamemuonyesha upendo na anatazamia kila kitu kilicho mbele yake na familia yake.

[ATTACH=full]1410[/ATTACH]

[QUOTE="jamal, post: 3651, member: 471"] Kiungo wa zamani wa Arsenal, Real Madrid na Ujerumani, Mesut Ozil ametangaza kustaafu soka akiwa na miaka 34. Ozil aliichezea Arsenal mara 254 na kushinda Vikombe vinne vya FA akiwa na The Gunners. Ozil pia alichezea Real Madrid mechi 159, akishinda LaLiga na Copa del Rey. Mesut Ozil aliichezea Ujerumani mechi 92, akifunga mabao 23 na kubeba Kombe la Dunia mwaka 2014. Ozil ametangaza kustaafu soka kufuatia majeraha ambayo yameathiri uchezaji wake. Mchezo wake wa mwisho ulikuwa Februari 2 wakati Istanbul Basaksehir ilipochapwa 1-0 na Kayserispor kwenye Ligi Kuu ya Uturuki. Baada ya miaka 17 ya kuwa mchezaji wa soka wa kulipwa, Ozil ameamua kustaafu soka mara moja. Ozil alikuwa na safari ya ajabu ya mpira wa miguu ambayo ilikuwa na nyakati na hisia zisizoweza kusahaulika. Ozil amemaliza kazi yake kwa vilabu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Schalke, Werder Bremen, Real Madrid, Arsenal, Fenerbahce, na Basaksehir. Ozil anashukuru mashabiki wake wote ambao wamemuonyesha upendo na anatazamia kila kitu kilicho mbele yake na familia yake. [ATTACH type="full"]1410[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kiungo wa zamani wa Arsenal, Real Madrid na Ujerumani, Mesut Ozil ametangaza kustaafu soka akiwa na miaka 34.
Top
Bottom