KOCHA MKENYA WA BIASHARA UNITED ATUA TANZANIA PRISONS.

vuligate

Mgeni
Dec 17, 2021
395
3
5
KOCHA Mkenya, Patrick Omuka Odhiambo amejiunga na Tanzania Prisons kwa mwaka mmoja kutoka Biashara United ya Mara.
Huo ni miongoni mwa mikakati ya Prisons chini ya Kamishina Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Meja Jenerali Suleiman Mzee kuhakikisha msimu ujao timu hiyo inapata tiketi ya kucheza michuano ya Afrika.
1641547496446.png
Pichani Odhiambo akiwa na Mkurugenzi wa Ufundi wa Jeshi la Magereza nchini, Kelvin Frednand wakati wa kusaini mkataba huo.