Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kocha Simba atoa faili la ubingwa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA imebadilika! Ni kauli ya kocha mkuu wa timu hiyo, Pablo Franco ambaye amesema tangu amekichukua kikosi hicho timu imeimarika, lakini amelia na eneo la ushambuliaji.

Pablo alisema amefanikiwa kulifanya eneo la ulinzi kuwa imara akitolea mfano nyota wake walivyocheza dhini ya Yanga.

“Sehemu nyingine ambayo imebadilika kwenye kikosi chetu katika kila mechi tumekuwa na wastani mkubwa wa kutengeneza nafasi za kufunga, lakini bado tunaendelea kuboresha kwenye kumalizia kwani tunatengeneza nafasi nyingi tunatumia chache.

“Simba inayoonekana wakati huu baada ya muda zaidi itaimarika kucheza katika soka la chini la kuvutia, pasi kuanzia nyuma hadi bao kufunga mabao na muda mwingine kushambulia kwa haraka.”

Pablo amekiongoza kikosi cha Simba katika mechi tano za michuano yote hadi sasa tangu apewe mikoba ya kuifundisha akizikabili Ruvu Shooting, Red Arrows (mara mbili), Geita Gold na Yanga.

MECHI YA ASFC

Simba ndio mabingwa wa Kombe la Shirikisho (ASFC) baada ya msimu uliopita kushinda bao 1-0, katika mechi ya fainali dhidi ya watani zao Yanga iliyochezwa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika.

Wekundu watakuwa na kibarua cha kwanza katika kombe hilo leo saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya JKT Tanzania inayoshiriki Ligi ya Championship.

Simba katika misimu miwili ya mashindano haya 2018 na 2019, waliwahi kuondolewa na timu za madaraja ya chini kwenye mechi za kwanza dhidi ya Green Warriors na Mashujaa.

Beki wa kati JKT Tanzania, Salum Athuman ‘Stopper’ alisema: “Tunacheza na timu kubwa Simba, tutawapa heshima zote, tutacheza kwa nidhamu ila tutaangalia udhaifu wao na kuangalia namna ya kushinda.”

[QUOTE="Mkwavinyika, post: 93, member: 7"] SIMBA imebadilika! Ni kauli ya kocha mkuu wa timu hiyo, Pablo Franco ambaye amesema tangu amekichukua kikosi hicho timu imeimarika, lakini amelia na eneo la ushambuliaji. Pablo alisema amefanikiwa kulifanya eneo la ulinzi kuwa imara akitolea mfano nyota wake walivyocheza dhini ya Yanga. [IMG]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3632888/landscape_ratio16x9/1160/652/1c538df7e4e825d3c1356513924a8c98/yj/pablo-pic.jpg[/IMG] “Sehemu nyingine ambayo imebadilika kwenye kikosi chetu katika kila mechi tumekuwa na wastani mkubwa wa kutengeneza nafasi za kufunga, lakini bado tunaendelea kuboresha kwenye kumalizia kwani tunatengeneza nafasi nyingi tunatumia chache. “Simba inayoonekana wakati huu baada ya muda zaidi itaimarika kucheza katika soka la chini la kuvutia, pasi kuanzia nyuma hadi bao kufunga mabao na muda mwingine kushambulia kwa haraka.” Pablo amekiongoza kikosi cha Simba katika mechi tano za michuano yote hadi sasa tangu apewe mikoba ya kuifundisha akizikabili Ruvu Shooting, Red Arrows (mara mbili), Geita Gold na Yanga. [B]MECHI YA ASFC[/B] Simba ndio mabingwa wa Kombe la Shirikisho (ASFC) baada ya msimu uliopita kushinda bao 1-0, katika mechi ya fainali dhidi ya watani zao Yanga iliyochezwa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika. Wekundu watakuwa na kibarua cha kwanza katika kombe hilo leo saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya JKT Tanzania inayoshiriki Ligi ya Championship. Simba katika misimu miwili ya mashindano haya 2018 na 2019, waliwahi kuondolewa na timu za madaraja ya chini kwenye mechi za kwanza dhidi ya Green Warriors na Mashujaa. Beki wa kati JKT Tanzania, Salum Athuman ‘Stopper’ alisema: “Tunacheza na timu kubwa Simba, tutawapa heshima zote, tutacheza kwa nidhamu ila tutaangalia udhaifu wao na kuangalia namna ya kushinda.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kocha Simba atoa faili la ubingwa
Top
Bottom