KOCHA SIMBA QUEENS ATUA YANGA PRINCESS: Uongozi wa Yanga umemtangaza Sebastian Nkoma kuwa kocha wa timu yao ya Wanawake ya Yanga Princess akipewa mkataba wa mwaka mmoja.
Nkoma aliwahi kuifundisha Simba Queens na kufanikiwa kubeba kombe la Ligi Kuu ya Wanawake akiwa na kikosi hicho.
