Kocha wa Chelsea "Graham Potter" Amtaka Golikipa wa Brighton.

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Chelsea mko tayari? au Mendy na Kepa wanajitosheleza?

Kocha wa Chelsea "Graham Potter" inasemekana anamuhitaji Golikipa wa Brighton "Robert Sanchez" kutua darajani, Nyota huyo wa Brighton ambaye aliwahi kumfundisha kipindi akiinoa timu hiyo.

57342173-4f6a-4e26-a214-2cb963281767.jpg