Kocha wa Morocco nje tatu bora ya kocha bora wa Mwaka wa kiume

Feb 7, 2023
61
36
5
Inawezekana vipi Walid Regraui amekosekana kwenye tatu bora ya Best FIFA Men's Coach Award, kocha huyo ameiongoza Morocco kufika nusu fainali ya World Cup kwa mara ya kwanza timu ya Afrika kufanya hivyo, lakini pia kushinda CAF Champions league akiwa Wydad Casablanca.
Kumbuka tatu bora ya makocha wa kiume waliotangazwa ni Scaloni wa Argentina, Ancelloti wa Madrid and Guardiola wa Man city. 20230209_195304.jpg