Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBA WA TANZANIA KUPEPERUSHA KIBENDERA AFCON.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

[ATTACH=full]69[/ATTACH]

REFA Mtanzania, Frank KOMBA ameingizwa kwenye orodha ya waamuzi 64 watakaochezesha Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika nchini Cameroon Januari mwakani.

Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema amebahatika kuwa Mtanzania pekee kupata nafasi ya kwenda kufanya kazi AFCON ya mwakani akiingia kwenye orodha ya waamuzi 32 wa pembeni.

Orodha ya CAF pia waamuzi wa kati 24 na wanane wa kutumia Usaidizi wa Picha za Video (VAR), wote wakitoka katika jumla ya nchi 37.

Fainali hizo zinatarajiwa kuanza Jumapili ya Januari 9 mwaka 2022 kwa ufunguzi wa mchezo kati ya wenyeji, Cameroon dhidi ya Burkina Faso Uwanja wa Olembe Jijini Yaounde.

[QUOTE="vuligate, post: 172, member: 123"] [ATTACH type="full"]69[/ATTACH] REFA Mtanzania, Frank KOMBA ameingizwa kwenye orodha ya waamuzi 64 watakaochezesha Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika nchini Cameroon Januari mwakani. Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema amebahatika kuwa Mtanzania pekee kupata nafasi ya kwenda kufanya kazi AFCON ya mwakani akiingia kwenye orodha ya waamuzi 32 wa pembeni. Orodha ya CAF pia waamuzi wa kati 24 na wanane wa kutumia Usaidizi wa Picha za Video (VAR), wote wakitoka katika jumla ya nchi 37. Fainali hizo zinatarajiwa kuanza Jumapili ya Januari 9 mwaka 2022 kwa ufunguzi wa mchezo kati ya wenyeji, Cameroon dhidi ya Burkina Faso Uwanja wa Olembe Jijini Yaounde. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBA WA TANZANIA KUPEPERUSHA KIBENDERA AFCON.
Top
Bottom