Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
KOMBE LA DUNIA 2022. (QATAR)
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Fifa Yakanusha Madai ya Kutumika Dakika 100 Kwenye Kombe la Dunia 2022

Rais wa FIFA Gian Infantino

BAADA ya hivi karibuni taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya Fifa kuangalia uwezekano wa kuongeza dakika za mchezo wa mpira wa miguu kutoka 90 hadi 100 kabla ya mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia la nchini Qatar, FIFA imeibuka na kukanusha taarifa hizo.

Taarifa kutoka fifa imesema:

“Kufuatia taarifa za uzushi zilizosambaa leo, FIFA inapenda kuliweka sawa swala hili kwamba hakutakuwa na mabadiliko yoyote yale kuhusiana na muda wa kucheza mpira wa miguu uwanjani katika mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia la nchini Qatar 2022, au katika mashindano mengine yeyote yale.”

Rais wa FIFA Gian Infantino akielezea jambo

Taarifa hizo zimeibuka baada ya Kituo cha Kimataifa cha Utafiti wa Masuala ya Michezo CIES kutoa takwimu kwamba zaidi ya dakika 30 zinapotea kwenye kila mchezo wa kawaida wa dakika 90 kutokana na kupoteza muda (Time-wasting) na kurusha mipira inayokuwa imetoka (Throw-ins)

[QUOTE="Amir, post: 1376, member: 20"] [HEADING=1]Fifa Yakanusha Madai ya Kutumika Dakika 100 Kwenye Kombe la Dunia 2022[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/batch_infantino.jpg[/IMG] [I][B]Rais wa FIFA Gian Infantino[/B][/I] BAADA ya hivi karibuni taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya Fifa kuangalia uwezekano wa kuongeza dakika za mchezo wa mpira wa miguu kutoka 90 hadi 100 kabla ya mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia la nchini Qatar, FIFA imeibuka na kukanusha taarifa hizo. Taarifa kutoka fifa imesema: “Kufuatia taarifa za uzushi zilizosambaa leo, FIFA inapenda kuliweka sawa swala hili kwamba hakutakuwa na mabadiliko yoyote yale kuhusiana na muda wa kucheza mpira wa miguu uwanjani katika mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia la nchini Qatar 2022, au katika mashindano mengine yeyote yale.” [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/FIFA-president-Gianni-Infantino.jpg[/IMG] [I][B]Rais wa FIFA Gian Infantino akielezea jambo[/B][/I] Taarifa hizo zimeibuka baada ya Kituo cha Kimataifa cha Utafiti wa Masuala ya Michezo CIES kutoa takwimu kwamba zaidi ya dakika 30 zinapotea kwenye kila mchezo wa kawaida wa dakika 90 kutokana na kupoteza muda (Time-wasting) na kurusha mipira inayokuwa imetoka (Throw-ins) [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
KOMBE LA DUNIA 2022. (QATAR)
Top
Bottom