Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
KOMBE LA DUNIA 2022. (QATAR)
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Refa 'wa Simba' aula Kombe la Dunia

Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limemtetua refa Jean Jacques Ndala Ngambo kwtika orodha ya awali ya waamuzi wa kati kwa ajili ya kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia baadaye mwaka huu.

Refa huyo kutoka Jamhuri ya DR Congo alizua mjadala hivi karibuni baada ya RS Berkane ya Morocco kumlalamikia kuwa aliipendelea Simba katika mechi ya raundi ya nne ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu ambayo walipoteza kwa bao 1-0.

Hata hivyo malalamiko hayo yalitupiliwa mbali na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) na siku chache baadaye refa huyo alipangwa kuchezesha mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia baina ya Misri na Senegal.

Orodha hiyo ya awali ya waamuzi nane wa kati kutoka Afrika imehusisha marefa waandamizi ambao wana historia na uzoefu mkubwa wa kuchezesha mechi kubwa na zenye ushindani wa hali ya juu.

Refa aliyezua mshangao katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) zilizofanyika Cameroon mwaka huu, Janny Sikazwe kutoka Zambia naye amejumuishwa katika orodha hiyo ambayo haina jina hata moja la refa kutoka nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (Cecafa).

Marefa nane wa kati kutoka Afrika walioteuliwa katika orodha ya awali ya kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia ni Mustapha Ghorbal (Algeria), Redouane Jayed (Morocco), Bakary Gassama (Gambia), Bamlak Tessema (Ethiopia), Victor Gomez (Afrika Kusini), Janny Sikazwe (Zambia), Maguette N' diaye (Senegal) na Jean Jacques Ndala Ngambo (DR Congo)

[QUOTE="mhariri, post: 1381, member: 122"] [HEADING=1]Refa 'wa Simba' aula Kombe la Dunia[/HEADING] [IMG]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3773854/4d80e0de2c3b06dbb0ed8fb17acac956/refa-pic-data.jpg[/IMG] Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limemtetua refa Jean Jacques Ndala Ngambo kwtika orodha ya awali ya waamuzi wa kati kwa ajili ya kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia baadaye mwaka huu. Refa huyo kutoka Jamhuri ya DR Congo alizua mjadala hivi karibuni baada ya RS Berkane ya Morocco kumlalamikia kuwa aliipendelea Simba katika mechi ya raundi ya nne ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu ambayo walipoteza kwa bao 1-0. Hata hivyo malalamiko hayo yalitupiliwa mbali na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) na siku chache baadaye refa huyo alipangwa kuchezesha mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia baina ya Misri na Senegal. Orodha hiyo ya awali ya waamuzi nane wa kati kutoka Afrika imehusisha marefa waandamizi ambao wana historia na uzoefu mkubwa wa kuchezesha mechi kubwa na zenye ushindani wa hali ya juu. Refa aliyezua mshangao katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) zilizofanyika Cameroon mwaka huu, Janny Sikazwe kutoka Zambia naye amejumuishwa katika orodha hiyo ambayo haina jina hata moja la refa kutoka nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (Cecafa). Marefa nane wa kati kutoka Afrika walioteuliwa katika orodha ya awali ya kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia ni Mustapha Ghorbal (Algeria), Redouane Jayed (Morocco), Bakary Gassama (Gambia), Bamlak Tessema (Ethiopia), Victor Gomez (Afrika Kusini), Janny Sikazwe (Zambia), Maguette N' diaye (Senegal) na Jean Jacques Ndala Ngambo (DR Congo) [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
KOMBE LA DUNIA 2022. (QATAR)
Top
Bottom