Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kombe la FA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

CHELSEA YAIFUATA LIVERPOOL FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND

TIMU ya Chelsea imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace Jumapili Uwanja wa Wembley Jijini London.

Katika mchezo huo mkali wa Nusu Fainali, mabao ya The Blues yamefungwa na Ruben Loftus-Cheek dakika ya 65 na Mason Mount dakika ya 76.

Sasa Chelsea watakutana na Liverpool katika Fainali Mei 14, yakiwa ni marudio ya Fainali ya Carabao Cup ambayo Liverpool ilishinda kwa penalti 11-10 baada ya sare ya 0-0 Februari 27 hapo hapo Wembley.

[QUOTE="Amir, post: 1419, member: 20"] [HEADING=2]CHELSEA YAIFUATA LIVERPOOL FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjO_2Eman_aD7r564BZex0-cKHp9V-GlX4Kc6_wn20dvcwTkiwMe2l2GeFflQYJFD5TV-NB2sLJlnu8QQSMIM7gxaQXJ3bMXqlGNw1ptIvJ2md3l2J0o32BOaZvo9e67z4tqBLULWxzbSgrysAHF4DThd2QWMv28z8TpobvciZIxsqIN3m_SFK64v8T/s962/D63179CC-5DF3-4896-BD4A-37E1CD227270.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjO_2Eman_aD7r564BZex0-cKHp9V-GlX4Kc6_wn20dvcwTkiwMe2l2GeFflQYJFD5TV-NB2sLJlnu8QQSMIM7gxaQXJ3bMXqlGNw1ptIvJ2md3l2J0o32BOaZvo9e67z4tqBLULWxzbSgrysAHF4DThd2QWMv28z8TpobvciZIxsqIN3m_SFK64v8T/w640-h428/D63179CC-5DF3-4896-BD4A-37E1CD227270.jpeg[/IMG][/URL] TIMU ya Chelsea imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace Jumapili Uwanja wa Wembley Jijini London. Katika mchezo huo mkali wa Nusu Fainali, mabao ya The Blues yamefungwa na Ruben Loftus-Cheek dakika ya 65 na Mason Mount dakika ya 76. Sasa Chelsea watakutana na Liverpool katika Fainali Mei 14, yakiwa ni marudio ya Fainali ya Carabao Cup ambayo Liverpool ilishinda kwa penalti 11-10 baada ya sare ya 0-0 Februari 27 hapo hapo Wembley. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kombe la FA
Top
Bottom