Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kombe la FA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MANE AIPELEKA LIVERPOOL FAUNALI FA, CITY YAFA 3-2 WEMBLEY

TIMU ya Liverpool imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Manchester City leo Uwanja wa Wembley Jijini London.

Mabao ya Liverpool yamefungwa na beki Mfaransa, Ibrahima Konaté dakika ya tisa na mshambuliaji Msenegal, Sadio Mane dakika ya 17 na 45, wakati ya Man City yamefungwa na Jack Grealish dakika ya 47 na Bernardo Silva dakika ya 12 ya muda wa fidia baada ya kutimia dakika 90 za kawaida.

Sasa Liverpool itamenyana na mshindi wa Nusu Fainali ya pili Jumapili baina ya Chelsea Crystal Palace katika Fainali itakayofanyika Mei 14 hapo hapo Wembley.

[QUOTE="Amir, post: 1421, member: 20"] [HEADING=2]MANE AIPELEKA LIVERPOOL FAUNALI FA, CITY YAFA 3-2 WEMBLEY[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZ48g_kv1W9kvhti8cX5_bphaui8Beb8iWIcv_ENRijbZA_wQfVkt1Fi95yEDpud0vcv2qN89PO1ZQnq-vTvcWhrmw_30ZNfqXqGlkPg-iY9TJtCZuj_RCmW4x6dELvQ7SlQSLYeeRb_OZxTLbCbHqxvmODvSo4X1-XZXSiOSOQ0O5x2gCTfA4yQso/s962/071BA07E-EB36-44A1-B3C7-5E40C4E10183.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZ48g_kv1W9kvhti8cX5_bphaui8Beb8iWIcv_ENRijbZA_wQfVkt1Fi95yEDpud0vcv2qN89PO1ZQnq-vTvcWhrmw_30ZNfqXqGlkPg-iY9TJtCZuj_RCmW4x6dELvQ7SlQSLYeeRb_OZxTLbCbHqxvmODvSo4X1-XZXSiOSOQ0O5x2gCTfA4yQso/w640-h428/071BA07E-EB36-44A1-B3C7-5E40C4E10183.jpeg[/IMG][/URL] TIMU ya Liverpool imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Manchester City leo Uwanja wa Wembley Jijini London. Mabao ya Liverpool yamefungwa na beki Mfaransa, Ibrahima Konaté dakika ya tisa na mshambuliaji Msenegal, Sadio Mane dakika ya 17 na 45, wakati ya Man City yamefungwa na Jack Grealish dakika ya 47 na Bernardo Silva dakika ya 12 ya muda wa fidia baada ya kutimia dakika 90 za kawaida. Sasa Liverpool itamenyana na mshindi wa Nusu Fainali ya pili Jumapili baina ya Chelsea Crystal Palace katika Fainali itakayofanyika Mei 14 hapo hapo Wembley. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kombe la FA
Top
Bottom