Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kombe la FA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

LIVERPOOL YATWAA KOMBE LA FA BAADA YA MIAKA 16

TIMU ya Liverpool imefanikiwa kutwaa Kombe la FA England baada ya miaka 16 kufuatia ushindi wa penalti 6-5 timu hizo zikitoka kumaliza dakika 120 bila kufungana Uwanja wa Wembley Jijini London.

Waliofunga penalti za Liverpool ni James Milner, Thiago Alcântara, Roberto Firmino, Trent Alexander-Arnold, Diogo Jota na Konstantinos Tsimikas, huku Sadio Mane pekee akikosa mkwaju wake ukiokolewa na kipa Msenegal mwenzake, Édouard Mendy.

Upande wa Chelsea waliofunga ni Marcos Alonso, Reece James, Ross Barkley, Jorginho na Hakim Ziyech huku César Azpilicueta na Mason Mount wakikosa.

[QUOTE="Amir, post: 1474, member: 20"] [HEADING=2]LIVERPOOL YATWAA KOMBE LA FA BAADA YA MIAKA 16[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEi1PX4VGIL07-H93TGyYBrG9Xkw6UxQPipWd4kEMZ0D0bM7dbP48vd0rpLp1NChyqhdhZFVedN6XiWN38O20XMkEOilGzTDbxioLdA7oxF6imwzmHQYjHXGpcRcxYcGvzEVaaWTNBHK_VifFGZnzjkK68cn_6lzELLa5eQAQFt-7ksEgijnGtrpjO/s962/E0C917BA-CCAB-4ABB-8EB3-0A7F5B615EB4.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEi1PX4VGIL07-H93TGyYBrG9Xkw6UxQPipWd4kEMZ0D0bM7dbP48vd0rpLp1NChyqhdhZFVedN6XiWN38O20XMkEOilGzTDbxioLdA7oxF6imwzmHQYjHXGpcRcxYcGvzEVaaWTNBHK_VifFGZnzjkK68cn_6lzELLa5eQAQFt-7ksEgijnGtrpjO/w640-h428/E0C917BA-CCAB-4ABB-8EB3-0A7F5B615EB4.jpeg[/IMG] [/URL] TIMU ya Liverpool imefanikiwa kutwaa Kombe la FA England baada ya miaka 16 kufuatia ushindi wa penalti 6-5 timu hizo zikitoka kumaliza dakika 120 bila kufungana Uwanja wa Wembley Jijini London. Waliofunga penalti za Liverpool ni James Milner, Thiago Alcântara, Roberto Firmino, Trent Alexander-Arnold, Diogo Jota na Konstantinos Tsimikas, huku Sadio Mane pekee akikosa mkwaju wake ukiokolewa na kipa Msenegal mwenzake, Édouard Mendy. Upande wa Chelsea waliofunga ni Marcos Alonso, Reece James, Ross Barkley, Jorginho na Hakim Ziyech huku César Azpilicueta na Mason Mount wakikosa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kombe la FA
Top
Bottom