Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kombe la FA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

LIVERPOOL YASONGA MBELE KIBABE KOMBE LA FA ENGLAND.

[ATTACH=full]232[/ATTACH]

TIMU ya Liverpool imetoka nyuma na kushinda 4-1 dhidi ya Shrewsbury Town katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England usiku wa Jumapili Uwanja wa Anfield.

Daniel Udoh alianza kuwafungia wageni dakika ya 27, kabla ya Liverpool ‘kuliamsha dude’ kwa mabao ya Kaide Gordon dakika ya 34, Fabinho mawili, moja kwa penalti dakika ya 44 na lingine dakika ya 90 na ushei na Roberto Firmino dakika ya 78.

Mechi nyingine, Tottenham pia imetoka nyuma na kuichapa Morecambe 3-1 wakati West Ham imeitoa Leeds United.

[QUOTE="Amir, post: 328, member: 20"] [HEADING=2]LIVERPOOL YASONGA MBELE KIBABE KOMBE LA FA ENGLAND.[/HEADING] [ATTACH type="full"]232[/ATTACH] TIMU ya Liverpool imetoka nyuma na kushinda 4-1 dhidi ya Shrewsbury Town katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England usiku wa Jumapili Uwanja wa Anfield. Daniel Udoh alianza kuwafungia wageni dakika ya 27, kabla ya Liverpool ‘kuliamsha dude’ kwa mabao ya Kaide Gordon dakika ya 34, Fabinho mawili, moja kwa penalti dakika ya 44 na lingine dakika ya 90 na ushei na Roberto Firmino dakika ya 78. Mechi nyingine, Tottenham pia imetoka nyuma na kuichapa Morecambe 3-1 wakati West Ham imeitoa Leeds United. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kombe la FA
Top
Bottom