Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kocha Berkane Apata Mchecheto, Kucheza na Simba

BAADA ya kuzitazama rekodi zake anapocheza naSimba, Kocha Mkuu wa RS Berkane, Florent Ibenge, amekiri

kukutana na upinzani mkali dhidi ya timu hiyo katika michuano ya kimataifa.

Ibenge amekutana na Simba mara nne katika michuano ya kimataifa wakati alipokuwa akiinoa AS Vita ya DR Congo

ambapo katika michezo hiyo amepoteza mitatu na akishinda mmoja.

Ibenge kwa sasa akiwa kocha mkuu wa RS Berkane ya nchini Morocco, anatarajiwa kukutana na Simba katika

mchezo wa Kundi D la Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa Februari 27, nchini humo, ambapo timu hiyo imetoka kupoteza katika mchezo uliopita kwa mabao 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas.

Akizungumza na Championi Jumatano, Ibenge alisema kuwa, rekodi zake dhidi ya Simba hazina matokeo mazuri

lakini sio sababu ya wao kushindwa kupata matokeo kwa kuwa wanayo kila sababu ya kupambana na kutafuta matokeo mazuri mara baada ya kupoteza katika mchezo uliopita wakiwa ugenini nchini Ivory Coast.

“Ni kweli rekodi yangu dhidi yao si nzuri lakini sio sababu ya sisi kufeli dhidi yao, kuna nafasi nzuri ya kupambana dhidi yao, tumetoka kupoteza katika mchezo uliopita tukiwa ugenini nchini Ivory Coast, hivyo tunatakiwa kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani.

“Kwa jinsi ambavyo ilivyo ni lazima tupate matokeo mazuri nyumbani kwa kuwa ugenini sio salama, kila timu imepanga kupata matokeo mazuri nyumbani, Simba wamepata matokeo tayari nyumbani na ugenini na hiyo ni faida kwao, ndio maana utaona kuwa wanaongoza kundi,” alisema kocha huyo.

[QUOTE="vuligate, post: 1046, member: 123"] [HEADING=1]Kocha Berkane Apata Mchecheto, Kucheza na Simba[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/Florent-Ibenge-1.jpg[/IMG] BAADA ya kuzitazama rekodi zake anapocheza naSimba, Kocha Mkuu wa RS Berkane, Florent Ibenge, amekiri kukutana na upinzani mkali dhidi ya timu hiyo katika michuano ya kimataifa. Ibenge amekutana na Simba mara nne katika michuano ya kimataifa wakati alipokuwa akiinoa AS Vita ya DR Congo ambapo katika michezo hiyo amepoteza mitatu na akishinda mmoja. Ibenge kwa sasa akiwa kocha mkuu wa RS Berkane ya nchini Morocco, anatarajiwa kukutana na Simba katika mchezo wa Kundi D la Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa Februari 27, nchini humo, ambapo timu hiyo imetoka kupoteza katika mchezo uliopita kwa mabao 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas. Akizungumza na Championi Jumatano, Ibenge alisema kuwa, rekodi zake dhidi ya Simba hazina matokeo mazuri lakini sio sababu ya wao kushindwa kupata matokeo kwa kuwa wanayo kila sababu ya kupambana na kutafuta matokeo mazuri mara baada ya kupoteza katika mchezo uliopita wakiwa ugenini nchini Ivory Coast. “Ni kweli rekodi yangu dhidi yao si nzuri lakini sio sababu ya sisi kufeli dhidi yao, kuna nafasi nzuri ya kupambana dhidi yao, tumetoka kupoteza katika mchezo uliopita tukiwa ugenini nchini Ivory Coast, hivyo tunatakiwa kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani. “Kwa jinsi ambavyo ilivyo ni lazima tupate matokeo mazuri nyumbani kwa kuwa ugenini sio salama, kila timu imepanga kupata matokeo mazuri nyumbani, Simba wamepata matokeo tayari nyumbani na ugenini na hiyo ni faida kwao, ndio maana utaona kuwa wanaongoza kundi,” alisema kocha huyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
Top
Bottom