Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Tuisila aipiga mkwara Simba

YULE winga wa zamani wa Yanga kwenye kasi ya kishada, Tuisila Kisinda ambaye sasa anaitumikia RS Berkane, ameipiga mkwara Simba akidai hasira ya kipigo walichopewa na Asec Mimosas zitaishia kwao wakati timu hizo zitakapokutana katika mechi itakayopigwa Jumapili hii.

Simba na Berkane zipo Kundi D la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na Jumapili usiku zitavaana, kila mmoja ikiwa na kiu ya ushindi baada ya Wamorocco hao kulazwa 3-1 ugenini na Asec, huku Simba ikitoka sare ya 1-1 dhidi ya USGN.

Akizungumza na Mwanaspoti kutoka Morocco, Kisinda alisema matokeo yaliyopita yalikuwa ni bahati mbaya kwao na sasa wanarudi nyumbani kujipanga ili kushinda dhidi ya Simba na kujiweka pazuri kwenye msimamo wa kundi hilo.

“Simba nawajua ni wazuri na matokeo waliyoyapata ugenini yamewapa nguvu, lakini nasi tumejipanga na tunataka tu ushindi dhidi yao bila kuangalia idadi ya mabao,” alisema Kisinda ambaye kasi yake iliwasumbua sana mabeki wakiwamo wa Simba katika Kariakoo Derby.

Hata hivyo, Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez na Kocha Pablo Franco walisema jana wakiwa Morocco kwamba wameenda nchini humo ili kupata ushindi kwani malengo yao kufika mbali anga za kimataifa.

[QUOTE="mhariri, post: 1070, member: 122"] [HEADING=1]Tuisila aipiga mkwara Simba[/HEADING] [IMG alt="Tuisila pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3729056/landscape_ratio16x9/1160/652/dcdd0997b507a63a9712643e3f228b60/vJ/tuisila-pic.jpg[/IMG] YULE winga wa zamani wa Yanga kwenye kasi ya kishada, Tuisila Kisinda ambaye sasa anaitumikia RS Berkane, ameipiga mkwara Simba akidai hasira ya kipigo walichopewa na Asec Mimosas zitaishia kwao wakati timu hizo zitakapokutana katika mechi itakayopigwa Jumapili hii. Simba na Berkane zipo Kundi D la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na Jumapili usiku zitavaana, kila mmoja ikiwa na kiu ya ushindi baada ya Wamorocco hao kulazwa 3-1 ugenini na Asec, huku Simba ikitoka sare ya 1-1 dhidi ya USGN. Akizungumza na Mwanaspoti kutoka Morocco, Kisinda alisema matokeo yaliyopita yalikuwa ni bahati mbaya kwao na sasa wanarudi nyumbani kujipanga ili kushinda dhidi ya Simba na kujiweka pazuri kwenye msimamo wa kundi hilo. “Simba nawajua ni wazuri na matokeo waliyoyapata ugenini yamewapa nguvu, lakini nasi tumejipanga na tunataka tu ushindi dhidi yao bila kuangalia idadi ya mabao,” alisema Kisinda ambaye kasi yake iliwasumbua sana mabeki wakiwamo wa Simba katika Kariakoo Derby. Hata hivyo, Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez na Kocha Pablo Franco walisema jana wakiwa Morocco kwamba wameenda nchini humo ili kupata ushindi kwani malengo yao kufika mbali anga za kimataifa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
Top
Bottom