Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA YAPIGWA 2-0 NA BERKANE MOROCCO, ASEC HOI NIGER

MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamepoteza mechi ya kwanza Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuchapwa 2-0 na wenyeji, RSB Berkane usiku wa Jumapili Uwanja wa Manispaa ya Berkane nchini Morocco.

Mabao ya Berkane yote yalipatikana kipindi cha kwanza la kwanza shuti la mpira wa adhabu la kiungo wa kimataifa wa Mauritania, Adama Ba dakika ya 32 na la pili kiungo Mmorocco, Charki El Bahri dakika ya 41.

Mechi nyingine ya kundi hilo jana, wenyeji, Union Sportive Gendarmerie Nationale (USGN) wameichapa AS des Employés de Commerce (ASEC) Mimosas 2-0 mabao ya Wilfried Gbeuli dakika ya 63 na Victorien Adebayor dakika ya 90 Uwanja wa Jénérali Seyni Kountché mjini Niamey nchini Niger.

Sasa Berkane inaongoza Kundi D kwa pointi zake sita, ikifuatiwa na USGN na Simba zenye pointi nne kila moja, wakati ASEC yenye pointi tatu inashika mkia.

Mechi zijazo ASEC Mimosas watakuwa wenyeji wa USGN Jijini Abidjan nchini Ivory Coast na Simba watawakaribisha Berkane Jijini Dar es Salaam Machi 13.

[QUOTE="Amir, post: 1088, member: 20"] [HEADING=2]SIMBA YAPIGWA 2-0 NA BERKANE MOROCCO, ASEC HOI NIGER[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgcIgyQqC8HlAkN14j1mbhmxH-RFK7K-mFSvZKH1EiRbjXelhdVLQWg-NjfnPnUmUDrkDSdNYTJbFh970mTJedfkSED3hPefeVWGPIYd54sOO9_xTEtmEVeAACjsxxqGDBten2C49lROqgVZh6D3RG9bodvhYD75dY1aT9b5omxUdfTRNyIju2brA5q=w640-h408[/IMG] MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamepoteza mechi ya kwanza Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuchapwa 2-0 na wenyeji, RSB Berkane usiku wa Jumapili Uwanja wa Manispaa ya Berkane nchini Morocco. Mabao ya Berkane yote yalipatikana kipindi cha kwanza la kwanza shuti la mpira wa adhabu la kiungo wa kimataifa wa Mauritania, Adama Ba dakika ya 32 na la pili kiungo Mmorocco, Charki El Bahri dakika ya 41. Mechi nyingine ya kundi hilo jana, wenyeji, Union Sportive Gendarmerie Nationale (USGN) wameichapa AS des Employés de Commerce (ASEC) Mimosas 2-0 mabao ya Wilfried Gbeuli dakika ya 63 na Victorien Adebayor dakika ya 90 Uwanja wa Jénérali Seyni Kountché mjini Niamey nchini Niger. Sasa Berkane inaongoza Kundi D kwa pointi zake sita, ikifuatiwa na USGN na Simba zenye pointi nne kila moja, wakati ASEC yenye pointi tatu inashika mkia. Mechi zijazo ASEC Mimosas watakuwa wenyeji wa USGN Jijini Abidjan nchini Ivory Coast na Simba watawakaribisha Berkane Jijini Dar es Salaam Machi 13. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
Top
Bottom