Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kisinda Aionya Simba Kwa Mkapa

WINGA wa RS Berkane ya Morocco, Tuisila Kisinda amesema kuwa kucheza na Simba wakiwa ugenini katika Uwanja wa Mkapa, Dar sio sababu ya wao kupoteza mchezo huo.

Timu hizo zitakutana tena Machi 13, katika uwanja huo baada ya hivi karibuni kuvaana nchini Morocco na Simba kupokea kichapo cha mabao 2-0 ukiwa ni mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi.

Kisinda ambaye aliichezea Yanga msimu uliopita ameliambia Championi Jumamosi, kuwa kucheza uwanjani hapo hakuwafanyi wao kupoteza mechi hiyo kwani malengo yao ni kupata matokeo mazuri katika michezo yao yote inayofuata ili wafike mbali.

“Malengo yetu safari hii ni kuweza kufika mbali katika michuano hii, hivyo tunatakiwa kuhakikisha kuwa tunafanya vizuri katika kila mchezo uliosalia ili tuweze kutimiza malengo yetu.

“Sisi kucheza katika Uwanja wa Mkapa siamini basi itakuwa asilimia zote kwamba Simba watashinda mchezo huo, tunahitaji kupata matokeo mazuri tukiwa kwao japo wamekuwa na historia nzuri wakiwa katika uwanja wao,” alisema winga huyo.

[QUOTE="mhariri, post: 1186, member: 122"] [HEADING=1]Kisinda Aionya Simba Kwa Mkapa[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/08/KISINDA.jpg[/IMG] WINGA wa RS Berkane ya Morocco, Tuisila Kisinda amesema kuwa kucheza na Simba wakiwa ugenini katika Uwanja wa Mkapa, Dar sio sababu ya wao kupoteza mchezo huo. Timu hizo zitakutana tena Machi 13, katika uwanja huo baada ya hivi karibuni kuvaana nchini Morocco na Simba kupokea kichapo cha mabao 2-0 ukiwa ni mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi. Kisinda ambaye aliichezea Yanga msimu uliopita ameliambia Championi Jumamosi, kuwa kucheza uwanjani hapo hakuwafanyi wao kupoteza mechi hiyo kwani malengo yao ni kupata matokeo mazuri katika michezo yao yote inayofuata ili wafike mbali. “Malengo yetu safari hii ni kuweza kufika mbali katika michuano hii, hivyo tunatakiwa kuhakikisha kuwa tunafanya vizuri katika kila mchezo uliosalia ili tuweze kutimiza malengo yetu. “Sisi kucheza katika Uwanja wa Mkapa siamini basi itakuwa asilimia zote kwamba Simba watashinda mchezo huo, tunahitaji kupata matokeo mazuri tukiwa kwao japo wamekuwa na historia nzuri wakiwa katika uwanja wao,” alisema winga huyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
Top
Bottom